ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Mmeanza propaganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajitegemea kila kitu sasa kwa pesa zetu za ndani hatuhitaji misaada TUTAKOPA!!!Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada.Jiwe ameshaondoka huko. Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu. Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta.
Busara na hekima ni jambo muhimu sana kwenye maisha ikiwa ni pamoja na siasa. Salary Slip naona CHADEMA wanataka kurudia kosa lile lile. Ni wazi kuwa bado hawajajifunza kuhusu nini wananchi wanataka, nini kinaweza kutumika kuwaadhibu na zaidi sana nini maana ya kuweka mbele maslahi mapana ya nchi dhidi ya maslahi ya chama.Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
uchaguzi ulirubuniwa sasa mnataka nini?Busara na hekima ni jambo muhimu sana kwenye maisha ikiwa ni pamoja na siasa. Salary Slip naona CHADEMA wanataka kurudia kosa lile lile. Ni wazi kuwa bado hawajajifunza kuhusu nini wananchi wanataka, nini kinaweza kutumika kuwaadhibu na zaidi sana nini maana ya kuweka mbele maslahi mapana ya nchi dhidi ya maslahi ya chama.
Nadhani ni bora hata mwandishi asingeandika, wangekaa tuu wajadiliane wenyewe. Trilioni 2 haziendi lumumba bali zingetumika kwa huduma za wananchi. Hivi mfano CCM ikishindwa kutekeleza baadhi ya ahadi zake halafu uchaguzi wa 2025 ikaenda kuwaambia wananchi wa Kyekelo kuwa tulikuwa tupate trilioni 2 za kuwajengea barabara ya lami lakini CHADEMA wamezuia, itakuwa wamekosea?
A
Wewe ni wapi umesoma 2t$ au unamanisha $2t mbona hata hiyo haijaandikwa ,mleta mada kasema 2t sio dolarWe jamaa akili zako zina mapengo unaambiwa 2tirl$ unajua ni sh, ngapi kwa madafu?
Usichanganye mafaili ndugu, rejea kwenye post uliyoirusha iliyokua ikisema hivi👇🏾Mwanachama mwenzetu gani wakati wanataka kuweka mapandikizi ya CCM? Tunawaonya wasijaribu huo ujinga!
Hapo ulimaanisha nn?? Kama sio kutaka kuutoa uhai wa huyo mpinzani??Watakayemweka kwamba ni mpinzani tukimjua ama zake ama zetu! Labda wahamishie battalion nzima nyumbani kwake na kwa ndugu zake!
Ni mataahira kama wewe tu huwa wanaweza kuamini hizi ngonjera unazozisema, eti pesa za ndani.
Sana, especially pale taasisi inapojipambanua kwa uanaharakati wa kisiasa halafu kumbe humo ndani yake kunakuwa na mambo kama ya ughaidi wa chini chini yakiwa yanaendelea. Mimi siku zote nilishasema mtu usijaribu kuipa dola kazi, iache dola ikupe wewe kazi, kama itakuona kuwa unafaa kupewa kazi. Ujanja mwingi, mbele kiza.Ujanja mwingi, mbele kiza.
Kuna umuhmu wa vijana wote wakimaliza standard 7 waende jeshi miezi 3 na zaidi, vijana wengi wanaanza kupoteza uzalendo
Kwani waliowaua huko Pemba siyo binadamu? Wacha tumtoe tu kwa maana wanataka kupandikizwa kwa ngozi ya upinzani wakati ni ma-CCM!Usichanganye mafaili ndugu, rejea kwenye post uliyoirusha iliyokua ikisema hivi👇🏾
Hapo ulimaanisha nn?? Kama sio kutaka kuutoa uhai wa huyo mpinzani??
CCM kuiba kura ili kufuta upinzani bungeni, wakati inahitaji wapinzani bungeni ili kupata uhalali wa bunge kimataifa ni ujanja mwingi, mbele kiza.Sana, especially pale taasisi inapojipambanua kwa uanaharakati wa kisiasa halafu kumbe humo ndani yake kunakuwa na mambo kama ya ughaidi wa chini chini yakiwa yanaendelea. Mimi siku zote nilishasema mtu usijaribu kuipa dola kazi, iache dola ikupe wewe kazi, kama itakuona kuwa unafaa kupewa kazi. Ujanja mwingi, mbele kiza.
Mabaya mnayalazimisha nyie mkiongozwa na baba yenuKwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya.