Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto
Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini
Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga vizuri na kufanya usafi halafu asije,huyo achana nae mara moja maana hata kwenye harusi hatohudhuria
Demu akiwa tofauti na snap chat yake kwa mwonekano,au akiwa katika picha ni tofauti na mwonekano wake halisi basi unaruhusiwa kumuacha hata hapo katika stand ya dala dala
Demu akiwa na shida na wewe basi anatakiwa atumie nauli yake kuja geto kwako,kama ambavyo wewe ukiwa na shida nae umtumie nauli aje geto kwako
NI marufuku kutumiwa meseji ya kuachwa halafu ukaanza kulialia geto
Hayo ndio baadhi ya maazimio ninayo yakumbuka,kilichobaki ni utekelezaji tu
Ni hayo tu!