Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

Mungu yu mwema nimekumbuka nyingine ni marufuku kumtumia demu hela isipokuwa yule uliye zaa nae au unayetarajia kumuoa,ila kinyume na hapo tuma ya mambo madogo madogo kama ya vocha ambayo atatumia kukupigia simu wewe

Safari hii wajumbe wamekuwa wakali sana!
 
Vikao ambavyo maelekezo hayafuatwi 😂

Huku mtaani usipotuma na ya kutolea atatumiwa na mwngine, ukishindwa kufanya tunakusaidia unabak na maumivu.
 
Na kuna mtu alichelewa alivokua anafika hivo hoja yake aliiwasilisha kisirisiri kwa mwenyekiti
Mimi nimeipata....
 
Pia wakati tunaondoka kuna mwamba alipayuka akisema mademu wazuri wote ni wa kuwagonga na kusepa ila mademu wa kawaida ndo wakuweka makazi ya kudumu.
Na tukiwa tunakaribia ma-home, hata kama shemshem ni mtunza hazina wa harusi ya braza, tulikubaliana kwamba mashemshem wawe wanatunza siri..!! kila demu wa braza aambiwe yeye ndo muolewaji..!!!
 
Wakati wa kurudi na jamaa akawa anasema...Mtoto kama hamfanani hata kucha,pua,kichwa jua umepigwa fukuzia mbali wote usilee bao la mwingine..
Nami nikapigilia msumari USIOE single maza atakua anakucheka ukisinzia anasema ona lijinga hili..
Single maza ana mtu anayempenda kwako kafata marisho..
 
Hakuna kutoa mahari wala kwenda kujitambulisha rasmi....kwao watakujua juu kwa juu!
 
Back
Top Bottom