Mimi naongelea mashiko ya huo muunganiko. Wameungana kujitutumua tu na kupiga picha, hata haiweleki nini wanafanya, wananufaikaje nao au wanasimamia nini.Unaujua uchumi wa India au Brazili? We mjinga India kwa sasa ni ya 5 kama sio ya nne kwa uchumi mkubwa, inapitwa na USA, China, Japani, na Ujerumani basi
Ziwapi pesa za plea bargainNatabili huu Uzi utakuwa wa mashindano ya team Uchina na Urus vs USA na EU
Mataifa wanao import zaidi kuliko ku export watapata tabu sana kipindi hiki Fed wakifanya yao kupambana na Inflation.Si benki kuu ya Marekani federal reserve wamepandisha interest rate ? , hivyo uhaba wa cash ni lazima ,na wanazidi kuipandisha ili kupambana na mfumuko wa bei
Kwa mujibu wa Honorable causa zipo china mkuuZiwapi pesa za plea bargain
Uchina yuko kote Urusi na US,EU.Natabili huu Uzi utakuwa wa mashindano ya team Uchina na Urus vs USA na EU
Ni balaaMataifa wanao import zaidi kuliko ku export watapata tabu sana kipindi hiki Fed wakifanya yao kupambana na Inflation.
Bado wengine wana mizigo ya madeni ya kulipa kwa dola!
India ishirikiane kiuchumi na adui yake namba moja China? Ambaye aliifanya hadi itumie gharama kubwa kutengeneza silaha za nyuklia, ambaye walipigana vita na mpaka leo wanagombea mpaka? Ambaye ndio military partner mkuu wa adui yake namba mbili, Pakistan?Unaujua uchumi wa India au Brazili? We mjinga India kwa sasa ni ya 5 kama sio ya nne kwa uchumi mkubwa, inapitwa na USA, China, Japani, na Ujerumani basi
Nawacheka sana watu ambao wanasema dedolarisation ,hizo ni ndoto ya alinacha ya watu ngumbaru wasiojua uchumi kiundani , we subiri miezi mingine hata minne mpaka sita utaona balaa lake hasa nchi zetu hizi ,nasikia wanataka kuongeza step tena kupandisha interest rate .Uchina yuko kote Urusi na US,EU.
Kuna watu watakuja kusema tuhifadhi Rubu na Yuan nyingi zaidi wasijue unahitaji dola kununua magari Japan na mafuta kutoka India au Uarabuni.Natabili huu Uzi utakuwa wa mashindano ya team Uchina na Urus vs USA na EU
Ulimbukeni wa kiwango cha lami .berue de change zimerudi kama kawaidaUnafungua nchi mpaka dolal inapotea[emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu nyie machawa huwa mnapenda kujificha sana kwenye kichaka cha swala la duniaJamani tuwe tunasoma soma kidogo! Tatizo la uhaba wa USD currency sio la Tanzania peke yake, hili ni tatizo la dunia yote. Please soma link hizi hapa chini kwa taarifa zaidi
US government risks running out of cash as soon as June 1, Janet Yellen warns
Biden invites Kevin McCarthy to White House next week as worries grow about debt ceiling crisiswww.ft.com
Foreign exchange: several African countries have a shortage of US dollars – why this happens and how to fix it
Slow growth of exports and tourism and a resurgence of global inflation have created dollar shortages in some African economies.theconversation.com
US dollar scarcity threatens Bolivia's 'economic miracle'
LA PAZ, Bolivia (AP) — Sofia Andrade, a lawyer, chose over the past month to withdraw all her dollar savings from the bank as the US currency became scarce on the streets of Bolivia.apnews.com
Import bill kuongezeka kutokana na Sababu mbalimbali ikiwemo mfumuko wa vitu huko ughaibuni..Eeeh! Kumbe mambo ndivyo yalivyo? Sasa hii manaake ni nini? Watalii wamepungua? Au nini hasa kinatokea mpaka USD hiwe adimu?
Lakini sababu nyingine ni kuwepo Kwa mamiradi makubwa hapa Tanzania ambayo yanalipiwa Kwa dollar so nayo inaongeza Kasi ya dola kuisha ukiacha import bill kuzidi kuongezeka vs exports as well as dollar kuwa ghali kwenye soko pia.Unafungua nchi mpaka dolal inapotea😀😀😀
Huna option labda Serikali izuie msululu wa bidhaa za kutoka China kiasi ikifanya hivyo na wao wanajibu Kwa kuweka vikwazo vya uhafifu wa bidhaa zenu..Nchi masikini za Afrika zinajenga uchumi wa china na kumnufaisha china bila kujua , unaagiza bidhaa nyingi kuliko unachouza nje ,mwisho wa siku wewe ni looser Maana hutakiwa na pesa za kigeñi na thamani yako ya pesa itashuka
Uhaba wa dollar na kukua Kwa uchumi ni vitu viwili tofautiKwahiyo wanapika data zs uchumi....?