ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio hivyo ila Kwa Sasa imports ni kubwa kushinda exports walau Utalii na gold vinasaidai.Ujue pesa ya kigeni hupatikana kwa exports
Hata hizo pesa zingine zikitumika itafika wakati demand and supply itafanya kazi yake
Dollar shortage ni artificial kama KenyaNdio hivyo ila Hilo sio swala la overnight so hakiwezi kuleta suluhu ya upungufu wa dollar in short term maana it needs time,pesa za investments na Wataalamu wa irrigation na mambo ya processing na masoko..
Kwa hiyo ndicho Serikali inafanya Kwa Sasa ,wameanza mwaka Jana so itsweza kuleta matokea labda kuanzia 2025 huko.
Japo kwenye kilimo ili tufaidishe masoko ya dunia inabidi tupate mbegu boraNdio hivyo ila Kwa Sasa imports ni kubwa kushinda exports walau Utalii na gold vinasaidai.
Pia itategemea una exports sana wapi,ku export EAC ambalo ndio soko letukubwahakikupi guarantee ya dollar Bali pesa za Nchi hizo unaanza tena kuziconverts kupata dollar so shida ipo na ni shida ya ku address baada ya mda mrefu.
Kwenye Mbegu Kwa Sasa Serikali imeanza kuweka Nguvu kubwa sana Kwa Sasa lengo ni kufikia 2025 about 50% ya Mbegu tuzalishe wenyewe na by 2030 tufike 100%Japo kwenye kilimo ili tufaidishe masoko ya dunia inabidi tupate mbegu bora
Mfano Vitunguu vikubwa vyeupe ndo hutumika sana Ulaya
Nyanya kubwa kubwa
Maparachichi yetu huvunwa kabla ya muda
Machungwa yetu yanafia shambani
Nchi kukosa $US dollars kunatokana na tabia ya serikali kuwapa kandarasi kampuni nyingi za nje hasa China.Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo!
Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini?
Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko palepale ikiwa kuna uhaba wa dola kiasi hiki?
View attachment 2607741
View attachment 2607742
Artificial Kwa maana ipi? Kinachofanyika ni dollar rationingDollar shortage ni artificial kama Kenya
Ambayo itasababisha bidhaa ziwe ghaliArtificial Kwa maana ipi? Kinachofanyika ni dollar rationing
Mvua kuchelewa kunyesha.Nachotaka kujua hii hali imesababishwa na nini?
China ni rafiki zetu kwanini wasibadilishe mikopo yake Afrika iende kwa Yuan?Uhaba wa dolar ni mkubwa na ni dunia nzima,hii ni kwa sababu "Demand for us$ currency exceeds the available supply,at the current exchange rate"What cause of a dollar shortage is a deteriation in the country's balance of payments,meaning a country's financial transactions with the rest of the world .Ina weza pia kuwa imetokana na nchi nyingi za kiafrica ikiwemo Tz wamelipa mikopo walio nayo kwa US$ na hawajapewa mingine kwa the same currency,kushuka kwa utalii(kipindi hiki ni low session mpaka mwezi wa sita),tumefanya manunuzi makubwa kwa fedha za kigeni ikiwemo dollar zaidi wakati hatujauza nje tupate dollar.China mwenyewe ndio anaongoza kwa kuwa na deni kubwa lilipo kwa dollar na sio kwa yuen kwa hiyo na yeye anatafuta dollar kulipa madeni yake na pia kununua row materials kwa ajili ya viwanda vyake.Kupanda kwa bei ya mafuta duniani,nchi nyingi zinatumia fedha nyingi us$ kununua mafuta .Tunahitaji G20 wakae ili waweze kuweka tena na kukubaliana kitu kinaitwa G22 's common framework mechanism" otherwise BRICS haitasaidia kwa kipindi hichi kwani currencies zao sio "reserve currencies" na mikopo yote kwenye nchi nyingi duniani zipo kwa US$ (95%) itachukua muda sana kuindoa dollar kwenye "reserve currency"
Ili ushinde kandarasi kuna bond ambayo kwa kandarasi kubwa kampuni nyingi za Kibongo hazina security hiyo.Nchi kukosa $US dollars kunatokana na tabia ya serikali kuwapa kandarasi kampuni nyingi za nje hasa China.
Huwezi kutumia akili sana kuona kwamba Serikali inazipa contract kampuni nyingi za nje kwa Tanzania shillings
Hao makandarasi wanapolipwa wananunua $US dollars zote kwenye market.
Hili limelalamikiwa na wafanyabiashara na makandarasi wengi nchini kupitia vyama vyao, lakini walio serikalini hawaelewi wala kusikia.
Kimsingi ukuwawezesha wazalendo kwa kuwapa kandarasi fedha yote inabaki nchini
Kina Mwigulu inalekea wana PhD za makaratasi tu.
Bidhaa zisizo za msingi hata zikiwa ghali ni sawa kuliko ukose dollar za kuagizia madawa ,mbolea na vitu vya muhimu Ili eti uwape wafanyabiashara dollar za kuagiza midoli, furniture au nguo au bidhaa za ujenzi za urembo hapana..Ambayo itasababisha bidhaa ziwe ghali
CRDB benki tangu mwezi wa 1 dola zinasumbua.
mkuu rate ikoje?Na unanishaurije mimi ambae nipo na dollar 4000,niendelee kuiweka au niichange?Nilikuwa na $ kadhaa nimeenda kuzibadilisha leo bila sababu za msingi. Sema uchumi wetu umekaa kinafiki kwa kuwa hatuna changamoto ndio maana unaonekana sawa ila tukipata tatizo zito lolote tutagundua tuna mabua
Thats a cheap self defeating argument.Ili ushinde kandarasi kuna bond ambayo kwa kandarasi kubwa kampuni nyingi za Kibongo hazina security hiyo.
Technology
Vifaa
Uwezo
Watu kama nyie ndo sababu ya hayo yoteThats a cheap self defeating argument.
Nchi kama Dubai zimeonyesha the way forward.
Huwezi fubgua kampuni huko mpaka uwe na mbia wa nchi yao amaye anatetea maslahi ya kibiashara ya kwake na ya nchi yake.
Sijui watanzania tutaendelea kujidharau mpaka lini.
Nope , siye tuko on the forefront kuyaonyesha hayo madhaifu katika vikao mbali mbali vya kuwaeleza watu wa serikalini kuamka toka usingizi mzito.Watu kama nyie ndo sababu ya hayo yote
Haina uhusiano na hali yetu.
Tanzania hii basi tuNope , siye tuko on the forefront kyaonyesha hayo madhaifu katika ikao mbali mbali vya kuwaeleza watu wa serikalini kamka toka usingizi mzito.
Lakini usingizi huo ni vi 10% wanavyopewa huku nchi inaangamia.
Si waziri wa Fedha wala Wazirri wa Viwanda na Biashara ameelezea uhaba wa $ US Dollar unatokn na nini.
Hizo bidhaa zinazoagizwa china una uwezo wa kuzizalisha na kukidhi mahitaji!?Dunia nzima inaitegemea china kama kiwanda.
Leo Tanzania imewakabidhi Wachina wajenge maduka 2060 ambayo yatahitaji bidhaa kutoka China.
Maana yake Wachina watahitaji kununua kwao zaidi na waje kutuuzia kwetu