Uhaba wa dolar ni mkubwa na ni dunia nzima,hii ni kwa sababu "Demand for us$ currency exceeds the available supply,at the current exchange rate"What cause of a dollar shortage is a deteriation in the country's balance of payments,meaning a country's financial transactions with the rest of the world .Ina weza pia kuwa imetokana na nchi nyingi za kiafrica ikiwemo Tz wamelipa mikopo walio nayo kwa US$ na hawajapewa mingine kwa the same currency,kushuka kwa utalii(kipindi hiki ni low session mpaka mwezi wa sita),tumefanya manunuzi makubwa kwa fedha za kigeni ikiwemo dollar zaidi wakati hatujauza nje tupate dollar.China mwenyewe ndio anaongoza kwa kuwa na deni kubwa lilipo kwa dollar na sio kwa yuen kwa hiyo na yeye anatafuta dollar kulipa madeni yake na pia kununua row materials kwa ajili ya viwanda vyake.Kupanda kwa bei ya mafuta duniani,nchi nyingi zinatumia fedha nyingi us$ kununua mafuta .Tunahitaji G20 wakae ili waweze kuweka tena na kukubaliana kitu kinaitwa G22 's common framework mechanism" otherwise BRICS haitasaidia kwa kipindi hichi kwani currencies zao sio "reserve currencies" na mikopo yote kwenye nchi nyingi duniani zipo kwa US$ (95%) itachukua muda sana kuindoa dollar kwenye "reserve currency"