Twende wizara ya KILIMO tujadili;
1.,Nchi ilinunua mbolea, Kwa kubadili Tshs kwenda Dollar,
Tafsiri ni kuwa Account ya Dollar hazina ilipungua.
2. Baada ya wakulima kuvuna mazao,
Wafanyabiashara Kutoka nje ya nchi wakaruhusiwa kuingia Hadi mashambani na masoko yetu wakisaidiwa na viongozi waovu kununua mazao Kwa pesa ya kitanzania Tshs Badala ya Dollar.
Tafsiri ni kuwa Account ya Dollar hazina Bado haikuongezeka.
3. Serikali kufanya maamuzi ya kununua chakula baada ya uhaba Kutokea nchini,
Account ya Dollar hazina inapungua Ili kupata Dollar za kuagiza chakula nje ya nchi.
Kwa maamuzi hayo yasiyo ya kizalendo, lazima Nchi iwe na SHORTAGE ya Dollar kwenye mzunguko maana hazina imekauka.
Mbali na hayo, data kuhusu Uchumi wetu ni SIRI kutokana na mambo mengi kufanyika gizani.
Tutafika tumechoka sana, maana mbomoa Nchi ni mwananchi mwenyewe.