TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Swali zito nadhani!Nachotaka kujua hii hali imesababishwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zito nadhani!Nachotaka kujua hii hali imesababishwa na nini?
Hili nilishalipigia Kelele kitambo wakaniona punguani nadhani!! Au labda wanafanya kwa Siri, sijui?1.Tumeambiwa tuanze kununua dhahabu kama nchi na kuweka akiba hatusikii,hiyo ndiyo shida.
Hawakukosea waliokuona punguani.Hili nilishalipigia Kelele kitambo wakaniona punguani nadhani!! Au labda wanafanya kwa Siri, sijui?
Nini maana ya siempre mheshimiwaJPM atabaki katika kumbukumbu njema....
Ila USISAHAU.....
Ameacha miradi ya:
1)SGR
2)Bwawa la kufua umeme(MWALIMU NYERERE HYDRO ELECTRIC POWER PLANT) .
Miradi yote hiyo inahitaji Fedha na utawala wa awamu ya 5 haukulipa FEDHA yote kwa sababu ya kutokamilika kwa miradi......
Mh.Rais SSH anaendelea kulipa Fedha ili miradi hiyo ikamilishwe itakiwavyo.....
#SiempreJMT[emoji120]
Habari hii hapa chini niliiandika hapa Jukwaani 04/04/2018.Hawakukosea waliokuona punguani.
Definitely, I am very naive in narrating many theories and principles of economics (it is not my well established field). However, I believe in Demand and Supply rules.
Now, I am puzzled with your view of discouraging us amassing our golds and Tanzanites; while others, mainly the heavy weight economic countries, are striving with vigor to stockpile the same precious metals from any mining hole in the world (including in their home places) with aim of strengthening their country economy. For instance, recently, a good number of European countries were reported to be recalling all of their golds which were kept in US vaults. So, with your already put forward argument, do you want tell us that these heavy weight countries have run from mediocrity to highest order lunacy in economic terms or what !! In other words, I would like to learn more on what actually do you mean by writing that it does not make sense to stockpile the gold and tanzanite as a country or even individuals.
We are going to trade with her (Russia), heavily, in near future wether you(we) like it or not. This is due to her highly newly sophisticated technologies in the field of pharmacy, agriculture, even in the military spheres. I am sure, while we are very keen to develop our own innovative technologies in these fields, we ought have to consult the already established countries (Russia included) in technology. Russia is rapidly stabilizing economically. Therefore, we can not count ourselves as sane if we will naively neglect Russia partnership in any arena.
Yes. That is what I mean, these commodities (golds and tanzanites) should be readily available in our vaults (not in the mining holes). We put them in our vaults by collecting them from our mines or elsewhere. With our precious metals stock being full, we can say something in economic terms as a country or individuals especially these days when the well known leading world reserve currency is 'shaking' in the financial grounds.
I agree with you on this, the price will increase and that where we will just pick our 'Bingo' at our doorstep. Yes, we can. For instance, China is the world number one buyer of oil. With that privilege, Chinese are starting to set the negotiation terms on the oil business (Petro-yuan). If we will be able to really amass a lot of these 'metals' then we can dictate the market terms.
At/For the best of my knowledge, this point seems to be not holding much of useful drinking water; regarding our current government leadership. Black market, yes, may rise but won't affect our market as measures to handle that are difficult to twist at the moment.
-------
Karibu.
Kwanini reserve iwe kwa pesa za kigeni?Uhaba wa dollar na kukua Kwa uchumi ni vitu viwili tofauti
Ha haaaa,,wewe huyu wa kutupa jibu ndo unauliza .Nachotaka kujua hii hali imesababishwa na nini?
La nouvelle generation-prince Julie,,,,,CRDB benki tangu mwezi wa 1 dola zinasumbua.
sasa mkuu huku ni kuvurugana, tunaongea kiswahili wewe unajibu kifaransa hapa ni kuleta lugha gonganaLa nouvelle generation-prince Julie,,,,,
Station rada.[emoji13][emoji13][emoji13]
Nini kinachosababisha iadimike duniani?Hii miradi mikubwa ya nchi inalipwa kwa USD au Tshs?
Mtata huyooo,,,,,majibu anayo hataki kufunguka anaona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina uhakika kama una ufahamu wa kutosha juu ya hii kitu inayoitwa BRICS. Na utakuwa unatazama sana habari za BBC, Sky News, CNN, na hizo media za kimagharibi ambazo kutwa kazi yao ni kupotosha.
Kinachofurahisha wachangiaji wengi ni wafuatiliaji wazuri wa international forum.Natabili huu Uzi utakuwa wa mashindano ya team Uchina na Urus vs USA na EU
Hatuhitaji dola kununua mafuta toka India.Kuna watu watakuja kusema tuhifadhi Rubu na Yuan nyingi zaidi wasijue unahitaji dola kununua magari Japan na mafuta kutoka India au Uarabuni.
Uwezi sema uchumi umekuwa halafu huna Dollar, Ina maana nchi haiuzi bidhaa nje bali nchi inanunua Sana bidhaa toka nje, hivyo Basi nchi yetu ipo katika Hali ya kufilisika. Ndio maana Magufuli alisisitiza uchumi wa viwanda. Hivi Kuna tajiri asiye na hela ?Uhaba wa dollar na kukua Kwa uchumi ni vitu viwili tofauti
.Kila siku tunanunua mavitu kwa pesa za nje miradi yote tunalipa kwa Dollars
Meanwhile hakuna tunachofanya kupata hizo dollars hatuuzi vitu nje
Walitegemea izo pesa hazina hazitaisha?
Miezi zaidi ya 5 dollar haipo banks wanasema hawawezi kukupa peke ako dollar 8000 waache wengine
Kama una kihela chako hauna mpango nacho usiweke fixed acc kanunue dollar sindika ndani mpaka mama atoke unaenda unachange
Wema hawana maisha.Mwamba ameondoka kaicha BoT in reserve ya $5 billion; aijawahi tokea katika historia ya Tanzania. Ndani ya mwaka walizalamba zaidi ya $3 billions kulipia madeni kwa sababu ya makusanyo hafifu kutoka TRA.
Halafu hapo hapo wanamsingizia kuwaongezea madeni wakati mwenyewe yupo hai alikuwa akiyalipa bila ya shida ndani ya muda wake wote.
It’s OK watu wenye elimu ndogo kumtukana Magufuli; lakini uwezi kuwa msomi (pamoja na mapungufu yake) halafu usimuelewe Magufuli alikuwa analenga nini labda uwe sehemu ya mafisadi.
Duuuh shule ulikimbia?!!!
Unawezaje kununua kutoka nje(imports) kwa sarafu yako?!!!! [emoji849][emoji16][emoji16][emoji16]
Unataka ukanunue Gold ya milion 10?