1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamenikuta broo, mtoto kanikalia kooni huwez amini,, mimi nlizoea kutongoza sio demu anitongoze1kush africa
Hongera sana naona 2019 umeuanza vizuri sana nielekeze na mimi huo mti ulioogea mkuu😀😀😀
Zari la mentali hilo mkuu, naona umeona kama miujiza eeh?Yamenikuta broo, mtoto kanikalia kooni huwez amini,, mimi nlizoea kutongoza sio demu anitongoze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mti wala nini,, ila ngoja aendeleee kusubiriHongera sana naona 2019 umeuanza vizuri sana nielekeze na mimi huo mti ulioogea mkuu😀😀😀
Zali wapi mkuu life tata ujue,,Zari la mentali hilo mkuu, naona umeona kama miujiza eeh?
Asubiri tena? Kwanini usimpe msimamo wako kamili ajijue?
Usiwaze sana kuhusu kikokotoo, kama ume mfeel na wewe jisogeze otherwise kua mkatili tu na umchane asiendelee kupoteza time
Nimempa msimamo ila anadai angalau nimlemle nimkate kiu,, sasa namwambia ukinogewa je?Asubiri tena? Kwanini usimpe msimamo wako kamili ajijue?
Hahaa huyo mtihani ..mtu gani asiyejua kuwa una majukumu mengine ambayo unapaswa kuyafanya katika maisha
Shubaaamit! Hapo sasa no commentNimempa msimamo ila anadai angalau nimlemle nimkate kiu,, sasa namwambia ukinogewa je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan acha kabisa,,Hahaa huyo mtihani ..mtu gani asiyejua kuwa una majukumu mengine ambayo unapaswa kuyafanya katika maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlizoea mie kuwaanza waoHongera kwa Kutongozwa! karibu katika karne!
Ni hatariiii
Karne hii ukiona ile kitu roho inapenda you go for it.. hamna kusubiri ..
Kibaya zaidi ana mchizi wake,,, alafu jamaa ana mposti sana instagram kuwa ndo mwanamke aliye pewa na Mungu,,Ni hatariiii