Leo chadema wadini! jana walikuwa wakabila.Baada ya kushinda kila kona ya nchi sio, wakabila tena bali wadini. Mpuuzi kuelimishwa ni kupoteza muda
Tanzania kamwe haitokuwa Jamhuri ya Kiislam! CCM B na CCM A mnapeleka kusiko!
Tatizo lote limeanzia kwenye Muafaka. Umewatisha watu fulani...
Waliaanza na ukabila wakaevolve into udini. Ukabila bado ni base.
Hahahahah u need brain surgery Muafaka upi unaongelea wewe? ama unaimanisha ndoa iliyoifuta FUC kwenye medani za siasa Tanzania?
Ina maana chote kilichoongewa kwenye mdahalo ulimeza kizima kizima bila kutafuna, jaribu kushughulisha kichwa.- Mkuu mimi huwa ninaongea facts, sijadili hadithi nenda kwenye clip za mdahalo utaona Mh. Hamad akisema haya maneno na hutaona Mh. Mbowe akikanusha kwamba sio kweli, mimi ninaongelea nilichokiona kwenye mdahalo tu!
William.
Ina maana chote kilichoongewa kwenye mdahalo ulimeza kizima kizima bila kutafuna, jaribu kushughulisha kichwa.
Ina maana chote kilichoongewa kwenye mdahalo ulimeza kizima kizima bila kutafuna, jaribu kushughulisha kichwa.
Mkuu Cigwiyemisi anaendeleaje? Nasikia atagombea urais 2015- Democracy at its best!
William.
kutokana na mdahalo wa jana nimesikia kua kuna wabunge kumi waligoma kutoka bungeni wakati wabunge wa chadema wakitoka nje ya bunge, yalielezwa na Hamad akijibu hoja ya Mbowe kuwa CUF inaonyesha kutowaunga mkono
jamani kwa nn hili hamlitaki kuliongelea
mjadala huo unaweza kuupata MZALENDO.NET « …Ni wakati wa ukweli na uwazi
- Mkuu mimi huwa ninaongea facts, sijadili hadithi nenda kwenye clip za mdahalo utaona Mh. Hamad akisema haya maneno na hutaona Mh. Mbowe akikanusha kwamba sio kweli, mimi ninaongelea nilichokiona kwenye mdahalo tu!
William.
- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,
- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!

Mkuu Cigwiyemisi anaendeleaje? Nasikia atagombea urais 2015
Haitoshi kusema unachoongea ni fact kama imetokana na source moja tu ya data. Fact yoyote ni lazima iwe imetokana na personal witness (kwamba uliona kwa macho yako linapotokea hilo) au una sources za kutosha kuweza kujustify hiyo fact. Kwa kuwa wewe ulisikia kutoka kwa third person (Hamad) na si kwamba uliona wala kukusanya taarifa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali, then huna mamlaka ya kujisifia kwamba huwa unaongea fact tu. Sana sana hapo ni umbea tu.