Elections 2010 Kumbe kuna wabunge kumi wa chadema hawajatoka Bungeni Rais alipokua akihutubia bunge

Elections 2010 Kumbe kuna wabunge kumi wa chadema hawajatoka Bungeni Rais alipokua akihutubia bunge

Ili la Hamad kugeuzwa shujaa limeanza lini, au CUF leo wamebatizwa?
 
if at all kunawambunge 10 ambao hawakutoka wakati wa hutuba ya JK, imeonyesha udhaifu wao au hali ya mtazamo wao ktk ktk mambo ni tofauti na wengine... lkn walichokifanya the rest kutoka nje niajmbo Bora kuonyesha kuwa hawakuridhia mambo fulani ktk uchaguzi pia .... kuwa tayari kushow the word that..hii itaingia ktk history ya hii nchi.... na itafungua na kuondoa woga ....ktk kusimamia maamuzi fulani asikwambie mtu kuinuka ktk kiti ktk mazingira kama yale na kutoka nje ni ujasili tosha .......wapo walioshindwa kwakuogopa .... n.k
 
cjui ni kwann most members wa jf wanakuwa wakali sana hasa linapokuja suala la wazi ambalo linaigusa au kuitia dosari chadema! May be I am meant to understand that 'mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu'....its very true that 'when a fool becomes enlightened, the wise man is in trouble'....
 
Kaka William nadhani Tanzania ya sasa ina watu wachache sana wanaopaswa kupiga kura. Japo kwenye sheria za kupiga kura kuna watu ambao hawaruhusiwi kupiga kura kwa sababu ya umri au "afya ya akili" (kwa ufupi asiwe kichaa) nadhani hizo exclusion criteria hazitoshi. Tuna watanzania wengi ambao akili ya mambo ya siasa na maendeleo hawana kwa kuwa hawakwenda shule na hivyo kuwa na uwezo mdogo wa kujua mambo; na ingekuwa amri yangu nisingewaruhusu kupiga kura. Hata CCM hufanya hivyo kupitia CC. Mtu anapiga kura ya kitu asichojua, hii si haki. Hawa wote hatuhitaji tuwasubiri waelimike mpaka tufikishe asilimia 50%. Hivyo twaweza kuwawakilisha kwa sisi wachache kusikilizwa. Na hiyo theory ya kwamba taifa letu ni changa waitoa wapi mkuu? Kwani Kenya, Zambia na Tanganyika ipi ni taifa changa zaidi?
Lakini ukweli bado unabaki palepale, kwamba hata ikiwa watanzania wengi watahitaji mabadiriko ya katiba na kwa bahati mbaya wakuu wa serikali kutohitaji mabadiriko husika, basi hatutoweza kushinda. Na hizo kura zetu zenyewe nani kahakikisha kwamba zinakuwa hazitoshi? Uchakachuaji tu. Josef Stalin anasema "It's not the people who vote that count. It's the people who count the votes". So it doesn't matter how many people will cast their votes, since they will decide nothing. What matters, is for those people who count the votes (the government) who can decide everything, if they also believe and embrace changes in question.

- Mkuu heshima sana, hivi ninakuelewa vizuri hapa kwamba wananchi waliopeleka wabunge 46 wa Chadema bungeni, wengi hawana elimu ya kutosha kwa hiyo dawa ni kubadili katiba! is that right?

William.
 
Ze mjadala iz ova, tupo ukurasa wa 6 sasa hakuna jina la mbunge alotajwa kubaki ndani wkt wengine wana walk out, ha ha ha, ze thread iz expired and ze wachangiaji are foolish.
 
Hahahahah u need brain surgery Muafaka upi unaongelea wewe? ama unaimanisha ndoa iliyoifuta FUC kwenye medani za siasa Tanzania?

Watoto wa midhabahuni utawajua tu... Lazima wachomekee mambo waliyokuwa wanafanyiwa na mapadri!
 
So this is an assumption and not fact, yah??! "If.... then...." nenda tena shule kaangalie principles za kustate an assumption, fact, hypothesis na opinion. Huwezi kuwaambia watu unaongea fact na wakati huna basis za hiyo fact. Ukweli ni kwamba HR aliupotosha Umma wa watanzania, na Mbowe hakuona sababu ya kujibu kitu ambacho kipo wazi; "full stop". Haya mengine ya umbea na ushabiki wa CCM yawekeni pembeni ongeeni yaliyo dhahiri, na si kuleta opinions na kutuambia hizo ni facts.

Fresh from college utawajua tu na mikwala yao ya kishule shule!!!!

Mh. Hamad Rashid aliupotosha umma wa Watanzania na hakuna hata mwandishi ama kiongozi mmoja wa Chadema aliyeona umuhimu wa kupinga hayo? Embu basi na wewe tueleze principle gani ulizotumia za ku-state an assumption, fact na hypothesis kufikia hitimisho hili: "Ukweli ni kwamba HR aliupotosha Umma wa watanzania, na Mbowe hakuona sababu ya kujibu kitu ambacho kipo wazi". Ama kweli kama alivyosema Mh. Hamad Rashid, ukimnyooshea mwenzio kidole, vingine visivyopungua vitatu vinakuelekea mwenyewe!

Kazi kweri kweri!
 
Facts zingine ovyo kweli kweli! Kila alichosema Mh Hamadi kimekuwa ni Kama msahafu! Ndo maana Malecela alisema go to hell wengine tulimwona alichemka!

Nyie wa Vatican hata mapadri wakiwadonyoa vitoto mnaona sawa tu.
 
Hivi wanaJF mnakubali kweli kudanganywa kirahisi namna hiyo na Hamad Rashid-na mnadanganyika kweli jamani??????????????????? Hivi hamkumuona Hamad kwamba ni dying horse-serikali ya umoja ZBR imemtema, sasa bungeni anajaribu kujenga kisichojengeka-anadai bungeni kitu ambacho hakiwezekani ili mradi awe kiongozi!!!!!!!!!!!!! Maadam mkwere amemchenga, na kule zenji ndiyo basi ssa anajaribu kulazimisha mambo!!!! Hamkumuona alivyokuwa anatweta na jazba nyingi!!!!!!!!!; hivi alikuwa anagombana na nani pale kwenye mdahalo????????????????????? Ukisikia kufilisika kisiasa ndiko kule!!!!!!!!- kama Lyatonga naye alivyomalizika-tena CDM wasithubutu kumkaribisha katika serikali kivuli-yeye lyatonga, hamad rashid, cheyo mapesa (sasa sapesa kalas!!!!) chunga sana!!!!!
Jibu sahihi lilitoka kwa Mkiti wa CDM-mwana falsafa Mbowe!!!!!!!!!!!!!!!!!Pipooooooooooooossssssssss Pawaaaaaaaaaaaass!!!!!!!!!!!!!!!!Yaani CDM ndiyo serikali kivuli makini-bungeni kutawaka moto- we ngoja Feb 2011 ifike!!!!!!!!!!!! Mlimuona kiboko cha sisiemu Tundu Lissu-alikuwa wakati wote ametulia akimsoma hamad kupima janja yake ili kubuni mbinu za kisheria kumzuia kupata mwanya wa kujiunga na serikali ya CDM bungeni!!!!!!!! Kuna formula moja naipenda-Mbunge mmoja wa CDM=wabunge 200 wa sisiemu!!!!!!!!!!!!!!!!!!pale bungeni!!!

Dying horse ehhh? Kwa sababu alimvuruga professional DJ right?

Waliotaka kuitumikia Zanzibar waliamua kugombea Uwakilishi na yeye angelitaka hivyo naye angegombea Uwakilishi badala ya ubunge kama walivyofanya waakina Ismail Jussa. Unapojaribu kutunga uongo basi mtumie na akili kidogo ili huo uongo uelekee elekee kidogo, siyo kama wale wakazi wa kudumu wa pale dampo la Kigogo.
 
- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,

- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!



William.

You know what is wrong-- unahitaji kufanya kitu kinaitwa "Facts check" Usiishie hapo tu kuwa HR kasema, Mbowe hakujibu, then unaclonclude, ulitakiwa uende mbali, uje walau na majina mawili matatu hivi ya wabunge wa chadema ambao hawakutoka, au ucite same information kutoka kwa mtu mwingine. Wewe umerely kutoka kwa HR peke yake, na hiyo issue haijaripotiwa mahali pengine popote. Ukumbi ule wa bunge siku ya tukio ulikuwa na waandishi wa habari kibao, sidhani kama hilo lingewapita-- that is one way ya kufanya fact check. Kwa kuwa hukufanya hivyo basi hiyo tuhuma ya HR haina ukweli. Huenda Mbowe hakujibu kwa kuwa haikuwa ni issue ya kujibu, au aliacha ili watu wamuone HR kuwa ni muongo-- je hilo umelifikiria

Nadhani ndugu aliyekuambia kuwa hukujishughulisha alikuwa sahihi. It is like katoto kadogo kanaona kitu halafu kanaripoti kama kilivyokuwa,bila kujiuliza kama anachokiripoti kina ukweli wowote, loh, please grow up dude
 
Kuna kimoja ambacho tumekisahau ambacho kabla ya kufika kwenye conclusion tunatakiwa kukitilia maanani.

CHADEMA iliiomba CUF ishirikiane nae bungeni. CUF ikakataa kwa sababu vyama vyengine havijashirikishwa.
Sasa tunapofika kwenye conclusion ya kuwa CUF inalazimisha iingizwe kwenye kambi ya upinzani mimi hata sielewi tulifikaje huko.
Suala la msingi ni la kujiuliza kwa nini CHADEMA ilitaka CUF pekee ishirikiane nae? Na ilipoenda kuomba ushirikiano haikujua kuwa CUF imeolewa na CCM na si chama cha upinzani? Kwa sababu hizo facts zipo wazi siku nyingi sana hata kabla matokeo ya uchaguzi kwa Tanzania na Bunge hayajatolewa.

Nionavyo:

CDM wana tatizo la kushindwa kudhibiti misimamo yao. Wanapobadili badili misimamo kila dakika wanachofanya ni kutuchanganya tu wananchi na sio chenginecho.

Tatizo watu humu ndani wamejaa mapenzi kiasi kwamba hawauni baadhi ya vitu kwahiyo ili uende nao sawa na wewe uwe kipofu

Nakuonya:

Usiandike hivyo utazogolewa na wapenda Chadema shauri yako!!!!!!!!!
 
You know what is wrong-- unahitaji kufanya kitu kinaitwa "Facts check" Usiishie hapo tu kuwa HR kasema, Mbowe hakujibu, then unaclonclude, ulitakiwa uende mbali, uje walau na majina mawili matatu hivi ya wabunge wa chadema ambao hawakutoka, au ucite same information kutoka kwa mtu mwingine. Wewe umerely kutoka kwa HR peke yake, na hiyo issue haijaripotiwa mahali pengine popote. Ukumbi ule wa bunge siku ya tukio ulikuwa na waandishi wa habari kibao, sidhani kama hilo lingewapita-- that is one way ya kufanya fact check. Kwa kuwa hukufanya hivyo basi hiyo tuhuma ya HR haina ukweli. Huenda Mbowe hakujibu kwa kuwa haikuwa ni issue ya kujibu, au aliacha ili watu wamuone HR kuwa ni muongo-- je hilo umelifikiria

Nadhani ndugu aliyekuambia kuwa hukujishughulisha alikuwa sahihi. It is like katoto kadogo kanaona kitu halafu kanaripoti kama kilivyokuwa,bila kujiuliza kama anachokiripoti kina ukweli wowote, loh, please grow up dude

Usimwonee William hata huyo Mbowe he merely kutoka kwa HR kuna maswala mengi sana yanafanyika wao kwa wao wanapingana soon yatakuwa wazi then tutarudi hapa kutoa facts zaidi. Mie nasema hadi sasa hakuna upinzani
 
Madrasa al sul al Jihad! Mabikira 72 na wajakazi 800 wera wera!

Mabikira wavulana ama wasichana. Nasikia wewe ulikuwa unajua kuchezesha na Mapadri walikuwa wanakugombania siku ya kula sadaka! Teh teh teh!!!!
 
- Hapa sasa mkuu ndio kabisaa unakubaliana na hoja yangu kwamba mambo ya haraka haraka kabla ya wakati ndio yametufikisha hapa tulipo, ukweli ni kwamba matokeo ya uchaguzi yanaonyesha exactly wananchi walichosema then kwamba bado wanataka chama kimoja, Mwalimu alitakiwa kuwasikiliza wananchi maana ndio Demokrasia yaani wananchi kuamua wanachotaka, kuwalazimisha wasichotaka ndio matokeo yake haya ndugu yangu, wananchi bado wanachagua CCM tu!

- Maana yake ni kwamba tulifkiri kwamba vyama vingi ndio jawabu, sasa sio siri kwamba hatukuwa tayari, naona imeanza ya katiba sasa utabadili vipi katiba na majority ya CCM, ndio ninasema tusidanganyane jamani, mambo badooo kidogo tusitafute njia za mkato mkato ndio zimelifikisha hili taifa tulipo sasa, yaani kwenye dead end!

William.

Hayo matokeo yangekuwa yanareflect hali halisi hapo kweli.
kwanza yamechakachuliwa,
pili waliopiga kura ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya watanzania
 
- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,

- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!


William.

Nakumbuka Nyerere aliwahi wajibu waandishi wa habari wa Kenya " Hivi nikikwambia mimi nalala na mama yako utakwenda andika hii habari? wakati mwingine Bill usimeze kila kitu bila kutafuta ukweli. Kuna uwezekano HR aliamua kupotosha na watu wakanywa sumu
 
Nakumbuka Nyerere aliwahi wajibu waandishi wa habari wa Kenya " Hivi nikikwambia mimi nalala na mama yako utakwenda andika hii habari? wakati mwingine Bill usimeze kila kitu bila kutafuta ukweli. Kuna uwezekano HR aliamua kupotosha na watu wakanywa sumu

Hizo kumbukumbu... Mbona ile ya nyuma ya piano na yule padri wa Kitaliano hutuambii?
 
Back
Top Bottom