Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Halafu CCM wakisimama bungeni wanasema vijana wajiajiri, wakati wao wamekimbilia bungeni kuchukua mamilioniKwa usanii hao jamaa hutawaweza.
Hio yote ni kukwambia shukuru kwa ulicho nacho huku nyie mlioko serikalini mkipewa ujumbe wa mnalalamika nini na vi diploma/degree zenu wkt huku Chamani kuna watu wana PH.d na wanalipwa laki 5 tu.
Una PhD weweInawezekana,kijana alikubali hiyo kazi alijua ni mapito tu,ipo siku atatoka.Siku hizi wenye PhD wapo kibao.
Kwa hiyo hautaki au?Huo ni usanii unadhani inawezekana hiyo kitu?