Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

PhD uchwara hiyo, alikuwa Makao Makuu CCM kwa kazi gani kama hajasomea utopolo?

Bila shaka ndo hawa vibwengo wanashinda mitandaoni kutetea chama.
Hata Kama Ni ya kitu gani aisee, PhD kubwa sana kulipwa huo mshahara
 
500,000/2,318=USD216. Yaani akifunga kula mwaka mzima, atasevu USD261x12 = 2,592! Uongo huo. Amenunuaje hiyo suit? Utakuta kajenga jumba sehemu hapa Dar. Vinginevyo atakuwa mwizi.
Mzee kwani laki tano huwezi kununua suti?
Tena sio moja
 
Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu

Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu Kama Hawa wapo

View attachment 1508536

Kama alidiliki kuongopa zile hostel za MAGUFULI zimejengwa zote kwa Bil 10 ndio unashangaa kusema Phd alikuwa Lumumba analipwa jiwe 5?
 
Kwa hiyo hautaki au?

Inamaana presdaa anaweza kuudanganya umma kindenzi namna hiyo?

Haya! Na waliokuwa wakiulizwa nao waliwekewa majibu midomoni mwao, kwa faida ya nani?
Toka raisi aingie madarakani nimefatilia sana ,mpaka leo akiongea kati ya kumi nachukua matatu saba yote uongo.Magufuli ni muongo sana tena sana ili kuwapumbaza wananchi ndoo lengo lake.Mtu yeyote anaependa sifa huwa ni muongo sana ili asifiwe.
 
Mkuu mtu anaweza akalipwa mshahara laki 5 lakini Allowance mil 4 kama wabunge hapo...!! So usoshangae mzeee mtu kaajiriwa na ccm ukute safari kila sikuuu za kikazii..
20200716_190209.jpeg
 
PhD uchwara hiyo, alikuwa Makao Makuu CCM kwa kazi gani kama hajasomea utopolo?

Bila shaka ndo hawa vibwengo wanashinda mitandaoni kutetea chama.
Namimi nimehisi huyo jamaa bila shaka atakuwa either USSR , Kawe Alumni , au wale mataga wengine wanaoshinda pale lumumba kazi yao kutujazia tu server zetu za JF na posts/comments zao za kumsifu na kumuabudu mungujiwe. Kumbe besides buku7 wana mshahara pia wa laki5?

Loh Lumumba wanatumia vizuri trillion 1.5 yetu waliyoiba
 
Kwa usanii hao jamaa hutawaweza.

Hio yote ni kukwambia shukuru kwa ulicho nacho huku nyie mlioko serikalini mkipewa ujumbe wa mnalalamika nini na vi diploma/degree zenu wkt huku Chamani kuna watu wana PH.d na wanalipwa laki 5 tu.
Posho shilingi ngapi?
 
Inategemeana na PHD ya nini; Huenda jamaa Alisoma Masters na Phd Kwa sifa, Akachagua Kozi mbovu mbovu; Sasa ikawa ngumu kupata mahali; ikabidi Ajishikize Chamani.
nadhani kusema PHD tu haitoshi
Itakuwa theology hiyo. Wanazipata hata ambao hawajafika sekondari.
 
Uchumi unasinyaa fursa za kupata kipato zaidi zimeminywa na serikali,

alafu mnashangilia mmeingia uchumi wa kati
 
Uongo ambao hata shetani anaukataa. Lazima alikuwa anapata zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom