Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Hahaaa nimecheka asee, mnapinga nini sasa?!PhD siku hizi ni ya kawaida tu wengi mno wanazo tena wengine hata job hawana.
 
Hujui unaloongea wewe. Unajua kunawatu mpo kiushabiki tu. Hv mtu kasoma akawa na degree akakosa kazi bado akasoma Masters akakosa kazi hv unafikiri ni rahisi kwenda kusomea phd kweli. Wengi waosomea phd lazma awe anakazi ndio aende kusomea phd.
Bro PhD na masters kusoma ni fursa ya kupiga pesa ,unakuta una scholarship nzuri inayokupa stipend ya kutosha kwann usisome.mfano mm kuna scholarship nimeomba ikikaa sawaa stipend per month ntapokea 800usd ,bila makato kwann nisiende shule nikasome masters ?
 
Kuna mtu namfahamu ,kajenga ,kanunua magari mazuri anafanya biashara baada ya kukusanya pesa za scholarship kwa kusoma masters na PhD .hivyo watu wanasoma kimalengo .hivyo usishangae watu kuwa na PhD .
 
Kuna machimbo yana mshahara mdogo lakini kuna mianya ya upigaji. Mfano watunza hazina/wahasibu kibao wa nyumba za ibada wanalipwa 60K/month ila kitaa tumepanga kwenye nyumba zao na tunasafiri kwenye daladala zao. So PhD kula 500k inawezekana ila am sure anatengeneza mara mbili ya hiyo mwisho wa mwezi ndo karidhika kuwa hapo kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom