Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Sasa si bora niishie zangu tu Darasa la 7 ili nijue moja ambapo naweza Kupambana na nikaipata Pesa zaidi ya hiyo kuliko Kulipwa ukiwa Msomi?
Kusoma kuna faida zaidi ya laki 5

Ukilaza mbaya jamani
 
Licha ya kuwa mfanyakazi wa CCM, alikuwa ni lecture wa iringa university, hii ni kwa mujibu wa prospectus ya chuo
Screenshot_20200717-071452.jpg
 
Mishahara na posho za wabunge ipunguzwe kwani hailingani na pato halisi la mtanzania na wanaishi ulimwengu mwingine kabisa.
Swala la kubana matumizi yaelekea halipo kabisa bungeni na ni wakati muafaka kwa serikali kulitupia jicho suala hili. Mafuriko ya wagombea yanathibitisha hili ikiwa limekaa kimaslahi kuliko wito wa kuwatumikia wananchi majimboni.
 
Makonda feb 15 ,1982
Gambo may 22, 1982
Haya maisha bana,Le Mutuz amezaliwa 1960 lkn akikutana na hao machalii hapo juu anabaki akijichekesha chekesha tu huku akijisemesha Yu Know The billionairez Goddamn bla bla bla...
 
Mishahara na posho za wabunge ipunguzwe kwani hailingani na pato halisi la mtanzania na wanaishi ulimwengu mwingine kabisa.
Swala la kubana matumizi yaelekea halipo kabisa bungeni na ni wakati muafaka kwa serikali kulitupia jicho suala hili. Mafuriko ya wagombea yanathibitisha hili ikiwa limekaa kimaslahi kuliko wito wa kuwatumikia wananchi majimboni.
Wanajua wakiwabana kwny posho/maslahi yao nao wabunge wataibana kisawasawa serikali humo bungeni,So dawa ni kuwapa pesa za kutosha wanywe pombe sana tu wakija asubuhi wana ma hangover ya hatari wanagonga meza tu na pia wawe bize na wanawake/mrax wa dodoma.
 
Aaaaae mbona zinapatikana tu mtaaani tena hata kabla ya mwezi
 
Mimi Nina degree lkn mahahara wangu wa mwanza naanza kazi ilikua 350000
 
Afisa mtendaji wa mtaa au??
Maana wa kata level ni za degree na zamani waliajiriwa wa diploma
inawezkn, nitoe mfn mdg, kuna faza yang mdg ana degree ila kaomba nafasi ya Afisa mtendaji kupitia cheti cha astashahada(certificate) kapata. sasa atalipwa mshahara wa kiwango gani? its obvious atalipwa 3k kwasababu ya kuajiliwa kwa certificate ila ana degree. Ndio hali aliyokua nayo hiyo jombaa. OVER
 
Back
Top Bottom