Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,263
Kwani ulilazimishwa kufanya ile kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huenda nimekuelewaInawezekana ni PhD yake.
Mkuu ulichoandika ni sahihi kabisa kulingana na matakwa ya kuipata hiyo PHD ni gharama kubwa lakini hapa nna mtizamo tofauti kidogo, binafsi nna degree ya Electric & Telecom, kipindi natoka chuo nilipata ajira sehemu hapa dsm na malipo yalikua laki3 kwa cash ila ofisi ilikua inatoa malazi, lunch, bima ya afya na majanga kazin na nauli kwa muda wote niliokua nao. Sasa baada ya kuzoea mazingira ikanibidi nianze kutafuta michongo na dili ili kipato kizidi ndugu huwez amini kuna Technician Tanesco tena ni alikua Tempo alikua anaingiza mpaka laki8 kwa mwezi plus overtime, iliniuma sana kipindi hicho ila nikaja kugundua kuna vitu vingi ktk kupanda kimaisha ya kazi, binafsi sikua na connection hapa dsm pia nilikua fresh from school ingawa field attach zilikuwepo ila hii ilikua tofauti kwan sikua tena mwanafunzi bali mhitimu alietaka ajira tu kwanza. Mind set ya mtu husika ndo inajua nn hasa uhitaji halisi kuna mie nilitaka connection, kufahamu mazingira, uzoefu wa taaluma yangu taratibu unaenda unakua now am not happy kwa nnachopata ila ni tofauti kabisa na ile laki3 ya kwanza. Step at a time mkuu.Wakuu, recently nilisikia Mkulu akijisifu kuwa Baharia ambaye ni PhD holder akila 500,000 kwa mwezi na kwamba huyu Daktari alikua "vere komfotabo"!
Kwa sasa kwa Tz gharama za Masters si chini ya million tatu na PhD si chini ya 10m, sasa kama unafanya investment ya more than 15m pamoja na miaka uliyosoma yote kisha unalipwa laki tano na uko poa tu Basi either wewe ni tatizo au hio PhD yako ni ya kubumba.
Soma ili uweze kujitegemea na uweze kuwasaidia na wengine, kwa laki tano kamwe narudia kamwe utakua umeharibu muda wako na kuwapotezea wengine hizo bahati za kusoma na kuw productive, huwezi kuwa productive kwa salary ya laki tano.
Watu kama hawa unakuta hawawezi kuandika hata two pages Concept Note, narudia either yeye au hio degree yake ina matatizo.
Shukrani
Uko sahihi kabisa Mpwa, nami naungana na wewe maana mimi pia nilishalipwa Tzs 150,000 nikiwa nafanya Masters hapo UDSM. Point yangu ni hii, aliyeyasema haya aliyasema kama vile anahalalisha kuwa ni sawa kwa PhD holder kulipwa hio amount. Hapa ndio kwenye ugomvi wangu Mpwa.Mkuu ulichoandika ni sahihi kabisa kulingana na matakwa ya kuipata hiyo PHD ni gharama kubwa lakini hapa nna mtizamo tofauti kidogo, binafsi nna degree ya Electric & Telecom, kipindi natoka chuo nilipata ajira sehemu hapa dsm na malipo yalikua laki3 kwa cash ila ofisi ilikua inatoa malazi, lunch, bima ya afya na majanga kazin na nauli kwa muda wote niliokua nao. Sasa baada ya kuzoea mazingira ikanibidi nianze kutafuta michongo na dili ili kipato kizidi ndugu huwez amini kuna Technician Tanesco tena ni alikua Tempo alikua anaingiza mpaka laki8 kwa mwezi plus overtime, iliniuma sana kipindi hicho ila nikaja kugundua kuna vitu vingi ktk kupanda kimaisha ya kazi, binafsi sikua na connection hapa dsm pia nilikua fresh from school ingawa field attach zilikuwepo ila hii ilikua tofauti kwan sikua tena mwanafunzi bali mhitimu alietaka ajira tu kwanza. Mind set ya mtu husika ndo inajua nn hasa uhitaji halisi kuna mie nilitaka connection, kufahamu mazingira, uzoefu wa taaluma yangu taratibu unaenda unakua now am not happy kwa nnachopata ila ni tofauti kabisa na ile laki3 ya kwanza. Step at a time mkuu.
Ni ukweli lakini ukweli halisi ni kwamba mishahara mingi inalipwa kulingana na cheo chako ama nafasi yako kazin na sio kulingana na taaluma yako ulipofikia'Uko sahihi kabisa Mpwa, nami naungana na wewe maana mimi pia nilishalipwa Tzs 150,000 nikiwa nafanya Masters hapo UDSM. Point yangu ni hii, aliyeyasema haya aliyasema kama vile anahalalisha kuwa ni sawa kwa PhD holder kulipwa hio amount. Hapa ndio kwenye ugomvi wangu Mpwa.
Hayo mengine ni mapito tu maana yeye anasema "ameamua kumkumbuka"! Wewe na Mimi tulijiongeza na hatukusubiri " mtu atukumbuke"!!
Ndio nasikia hii LeoNi ukweli lakini ukweli halisi ni kwamba mishahara mingi inalipwa kulingana na cheo chako ama nafasi yako kazin na sio kulingana na taaluma yako ulipofikia'
Nani roho inamuuma?? Mkulu?Ni mtazamo tu. Kuna kijana namfahamu roho inamuuma sana kulipwa 6m per month.
Bahati yangu ni kwamba kabla ya sasa ajira nyingi kuhamishiwa UTUMISHI kwa mchakato wa kuajiri, nimeshuhudia mengi ktk hizi ofisi za serikali na mashirika yake kwa maajabu ya wakuu wao wa idara na namna zao za kupanga madaraja' rejea kuna Technician alikua analipwa laki8 plus overtime na sekta binafsi wanaangalia uhitaji wao ktk uzalishaji yaan watahitaji kweli degree au phd holder ila mezani wao wana bajeti yao kwako, sasa hapo itategemea akili yako na mahitaji.Ndio nasikia hii Leo
Ila kusoma sana unakua mjinga na muogaBahati yangu ni kwamba kabla ya sasa ajira nyingi kuhamishiwa UTUMISHI kwa mchakato wa kuajiri, nimeshuhudia mengi ktk hizi ofisi za serikali na mashirika yake kwa maajabu ya wakuu wao wa idara na namna zao za kupanga madaraja' rejea kuna Technician alikua analipwa laki8 plus overtime na sekta binafsi wanaangalia uhitaji wao ktk uzalishaji yaan watahitaji kweli degree au phd holder ila mezani wao wana bajeti yao kwako, sasa hapo itategemea akili yako na mahitaji.
Anaelipwa 6m. Anaona ndogo sana.Nani roho inamuuma?? Mkulu?
Serikalini wanatambu first degree tuuuuu!!! Hizo nyingine ni mbwembwe tuuu kuna washikaji kibao wana masters ila wanakula mshahara wa degree ya kwanza au diplomaUkimweka akilini JIWE utachanganyikiwa. akili za kuambiwa changanya na zako.
Dah...Cha msingi kujua unaingiza faida kiasi gani....labda anawaingizia 100m kwa mwezi [emoji2960]Ni mtazamo tu. Kuna kijana namfahamu roho inamuuma sana kulipwa 6m per month.
Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu
Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu Kama Hawa wapo
View attachment 1508536
Duh nipe hii formula nitafute kaziUnaweza kuwa na mshahara laki 5 ila marupurupu mil3. Mambo mengine ni kujiongeza tu