Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Wakuu, recently nilisikia Mkulu akijisifu kuwa Baharia ambaye ni PhD holder akila 500,000 kwa mwezi na kwamba huyu Daktari alikua "vere komfotabo"!

Kwa sasa kwa Tz gharama za Masters si chini ya million tatu na PhD si chini ya 10m, sasa kama unafanya investment ya more than 15m pamoja na miaka uliyosoma yote kisha unalipwa laki tano na uko poa tu Basi either wewe ni tatizo au hio PhD yako ni ya kubumba.

Soma ili uweze kujitegemea na uweze kuwasaidia na wengine, kwa laki tano kamwe narudia kamwe utakua umeharibu muda wako na kuwapotezea wengine hizo bahati za kusoma na kuw productive, huwezi kuwa productive kwa salary ya laki tano.

Watu kama hawa unakuta hawawezi kuandika hata two pages Concept Note, narudia either yeye au hio degree yake ina matatizo.

Shukrani
Mkuu ulichoandika ni sahihi kabisa kulingana na matakwa ya kuipata hiyo PHD ni gharama kubwa lakini hapa nna mtizamo tofauti kidogo, binafsi nna degree ya Electric & Telecom, kipindi natoka chuo nilipata ajira sehemu hapa dsm na malipo yalikua laki3 kwa cash ila ofisi ilikua inatoa malazi, lunch, bima ya afya na majanga kazin na nauli kwa muda wote niliokua nao. Sasa baada ya kuzoea mazingira ikanibidi nianze kutafuta michongo na dili ili kipato kizidi ndugu huwez amini kuna Technician Tanesco tena ni alikua Tempo alikua anaingiza mpaka laki8 kwa mwezi plus overtime, iliniuma sana kipindi hicho ila nikaja kugundua kuna vitu vingi ktk kupanda kimaisha ya kazi, binafsi sikua na connection hapa dsm pia nilikua fresh from school ingawa field attach zilikuwepo ila hii ilikua tofauti kwan sikua tena mwanafunzi bali mhitimu alietaka ajira tu kwanza. Mind set ya mtu husika ndo inajua nn hasa uhitaji halisi kuna mie nilitaka connection, kufahamu mazingira, uzoefu wa taaluma yangu taratibu unaenda unakua now am not happy kwa nnachopata ila ni tofauti kabisa na ile laki3 ya kwanza. Step at a time mkuu.
 
Uko sahihi kabisa Mpwa, nami naungana na wewe maana mimi pia nilishalipwa Tzs 150,000 nikiwa nafanya Masters hapo UDSM. Point yangu ni hii, aliyeyasema haya aliyasema kama vile anahalalisha kuwa ni sawa kwa PhD holder kulipwa hio amount. Hapa ndio kwenye ugomvi wangu Mpwa.

Hayo mengine ni mapito tu maana yeye anasema "ameamua kumkumbuka"! Wewe na Mimi tulijiongeza na hatukusubiri " mtu atukumbuke"!!
 
Dah 500k ndogo sana na me binafsi siwezi kutoboa nayo mwezi.....japo nna kadiploma siwez kukubali hiyo!
 
Uko sahihi kabisa Mpwa, nami naungana na wewe maana mimi pia nilishalipwa Tzs 150,000 nikiwa nafanya Masters hapo UDSM. Point yangu ni hii, aliyeyasema haya aliyasema kama vile anahalalisha kuwa ni sawa kwa PhD holder kulipwa hio amount. Hapa ndio kwenye ugomvi wangu Mpwa.

Hayo mengine ni mapito tu maana yeye anasema "ameamua kumkumbuka"! Wewe na Mimi tulijiongeza na hatukusubiri " mtu atukumbuke"!!
Ni ukweli lakini ukweli halisi ni kwamba mishahara mingi inalipwa kulingana na cheo chako ama nafasi yako kazin na sio kulingana na taaluma yako ulipofikia'
 
Ndio nasikia hii Leo
Bahati yangu ni kwamba kabla ya sasa ajira nyingi kuhamishiwa UTUMISHI kwa mchakato wa kuajiri, nimeshuhudia mengi ktk hizi ofisi za serikali na mashirika yake kwa maajabu ya wakuu wao wa idara na namna zao za kupanga madaraja' rejea kuna Technician alikua analipwa laki8 plus overtime na sekta binafsi wanaangalia uhitaji wao ktk uzalishaji yaan watahitaji kweli degree au phd holder ila mezani wao wana bajeti yao kwako, sasa hapo itategemea akili yako na mahitaji.
 
Ila kusoma sana unakua mjinga na muoga
 
Kama laki 5 ni ndogo basi apanddishe mishahara kwa watumishi wa umma ambao miaka 5 hawaongezwa.mishahara...kipindi cha Awamu 4 uyo jamaa alikuwa hapo hapo magogoni
 
Ukimweka akilini JIWE utachanganyikiwa. akili za kuambiwa changanya na zako.
Serikalini wanatambu first degree tuuuuu!!! Hizo nyingine ni mbwembwe tuuu kuna washikaji kibao wana masters ila wanakula mshahara wa degree ya kwanza au diploma
 
mkuu zakuambiwa changanya nazako, katika sekta ya siasa posho ni kubwa kuliko mshahara, kama amelipwa 500k je posho yake ni shingapi??

Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu

Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu Kama Hawa wapo

View attachment 1508536
 
kiufupi jamaa hajui kwanini alisoma ni ajira tu ndo ilimkaa kichwani na hayo ndo madhara ya kusoma ili uajiriwe....unapoteza muda pesa alafu eventually unalipwa laki tano kisha unakufa....ipi faida ya kuwa na PhD sasa....
 
Mkuu unaweza kulipwa laki 5 ila Marupurupu Ni zaidi ya milion 4.

Hapo wangetaja Marupurupu Yake na sio salary.
 
Back
Top Bottom