Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

Ukiwa na subira inawezekana
ni sawa na kuajiliwa kama fundi mchomeleaji kwenye kampun kumbe una digrii ya engineering ,siku wanatangaza nafasi unao,mba ,kwa ukuwa upo ndani ni rahisi kupata unapotoa magamba yako
 
Aiseeh! hii imenipa faraja, sio kwa nia mbaya, maana nilikuwa najiona nina bahati mbaya nilipokuwa najiona nina kipato kidogo na nimechelewa kufikia malengo yangu

Rais kasema Kuna mtu kasoma miaka 4 China PhD na alikuwa akilipwa laki 5, japokuwa kateuliwa kuwa DC, lakini inamaanisha bado watu Kama Hawa wapo

View attachment 1508536
Ina maana huyo jamaa alisoma madudu ya kichina ambayo hayana market popote pale.
 
Kila mtu ana plan mzee,
Jamaaa alijua,kwa utawala huu,wenye elimu wengi wamepewa nafasi
Planning ya kupata PhD si kam kwenda dukani kununua elimu.
Planning for your education hasa ya juu ni zoezi la si chini ya miaka 10.
 
Kwani kusoma sana ndio kulipwa mshahara mkubwa embu tuanze kufuta hii dhana potofu kuwa lazima usome sana ndio ulipwe uajira mwingi.
 
Haya maisha bana,Le Mutuz amezaliwa 1960 lkn akikutana na hao machalii hapo juu anabaki akijichekesha chekesha tu huku akijisemesha Yu Know The billionairez Goddamn bla bla bla...
Huyo mzee ana cheni yake toka aivae mwaka 1988 hadi leo hajaivua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mzee ana cheni yake toka aivae mwaka 1988 hadi leo hajaivua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah ukimuuliza atakwambia Ma men i got that Chain from le mbebezi in 1980's nilipokua namalizia degree yangu ya pili ya Marine Management huko Connectcut,hahah Goddamn Mazafanta le billionaire riding my Toyota Noah.
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu, recently nilisikia Mkulu akijisifu kuwa Baharia ambaye ni PhD holder akila 500,000 kwa mwezi na kwamba huyu Daktari alikua "vere komfotabo"!

Kwa sasa kwa Tz gharama za Masters si chini ya million tatu na PhD si chini ya 10m, sasa kama unafanya investment ya more than 15m pamoja na miaka uliyosoma yote kisha unalipwa laki tano na uko poa tu Basi either wewe ni tatizo au hio PhD yako ni ya kubumba.

Soma ili uweze kujitegemea na uweze kuwasaidia na wengine, kwa laki tano kamwe narudia kamwe utakua umeharibu muda wako na kuwapotezea wengine hizo bahati za kusoma na kuw productive, huwezi kuwa productive kwa salary ya laki tano.

Watu kama hawa unakuta hawawezi kuandika hata two pages Concept Note, narudia either yeye au hio degree yake ina matatizo.

Shukrani
 
Kwa hali ninazoziona kwa baadhi yao..Nadhani kweli kuna wanaokunja pesa za dizaini hizo..
 
Sasa wenye bachelor tulilidhia kulipwa laki tano na nusu lakini wao wakaona aibu na kuona watufukuze kazi.
 
Wakuu, recently nilisikia Mkulu akijisifu kuwa Baharia ambaye ni PhD holder akila 500,000 kwa mwezi na kwamba huyu Daktari alikua "vere komfotabo"!

Kwa sasa kwa Tz gharama za Masters si chini ya million tatu na PhD si chini ya 10m, sasa kama unafanya investment ya more than 15m pamoja na miaka uliyosoma yote kisha unalipwa laki tano na uko poa tu Basi either wewe ni tatizo au hio PhD yako ni ya kubumba.

Soma ili uweze kujitegemea na uweze kuwasaidia na wengine, kwa laki tano kamwe narudia kamwe utakua umeharibu muda wako na kuwapotezea wengine hizo bahati za kusoma na kuw productive, huwezi kuwa productive kwa salary ya laki tano.

Watu kama hawa unakuta hawawezi kuandika hata two pages Concept Note, narudia either yeye au hio degree yake ina matatizo.

Shukrani
Inawezekana ni PhD yake.
 
Back
Top Bottom