Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni laanakiufupi jamaa hajui kwanini alisoma ni ajira tu ndo ilimkaa kichwani na hayo ndo madhara ya kusoma ili uajiriwe....unapoteza muda pesa alafu eventually unalipwa laki tano kisha unakufa....ipi faida ya kuwa na PhD sasa....
Hahahaha hakuna kitu kama hichoMkuu unaweza kulipwa laki 5 ila Marupurupu Ni zaidi ya milion 4.
Hapo wangetaja Marupurupu Yake na sio salary.
[emoji2][emoji2][emoji2]Kuna ambaye anasoma ili akalime mkuu? Si kila mtu anasoma aajiriwekiufupi jamaa hajui kwanini alisoma ni ajira tu ndo ilimkaa kichwani na hayo ndo madhara ya kusoma ili uajiriwe....unapoteza muda pesa alafu eventually unalipwa laki tano kisha unakufa....ipi faida ya kuwa na PhD sasa....
Nisamehe mkuu kwa nnachoandika. Comment yako hapo juu inaendana sana na hali ilivyo sasa au kuanzia 2008 mpaka sasa, elimu imekua njia ya kuchangamsha akili ili upate maarifa ya kuzalisha kulingana na ulichofundishwa shule. Sasa wale wa 2007 mpaka huko chini wengi wetu tumekuzwa na wazazi ambao either walikua wanaamini katika elimu ndo njia ya kupata kazi na kufanikiwa ki maisha or walikua huru kwa watoto wao na kuwasapoti. Wengi tumekuzwa na hizi wa wazazi wanaoamini ktk Elimu mpaka unafanikiwa na mifano ilikuwepo kipindi hiko na hili likatufanya sie watoto tuamini ktk nikipata tu diploma, degree nabkundelea basi nimemaliza, kumbe ni tofauti na mazingira yanavyotaka. Sio wote Elimu inawasaidia, kuna msemo huku mtaan kwetu kwamba huyu nae alienda shule kujua kuandika na kusoma tu, alaf huyo jamaa au dada ana master yake. Ndo pakujiuliza hivi Elimu inatakiwa ianzie wapi hasa ili tuweze kwenda sawa na kasi ya maendeleo???[emoji2][emoji2][emoji2]Kuna ambaye anasoma ili akalime mkuu? Si kila mtu anasoma aajiriwe
Kuwa TISS ndio mnilipe buku tano?Vyeo kama hivyo vina marupurupu mangi.. pia huko ccm ilikua geresha mara nyingi watu kama hao wanakua ni wa TISS.
Siku hizi wenye PhD wapo kibao.
Mkuu usicheke [emoji1]Hahahaha hakuna kitu kama hicho
Basi powa, nimeridhikaMkuu usicheke [emoji1]
Mbunge mshahara Basic Ni 3.8 milion yaani 3,800,000/= ila Marupurupu ya mwezi Ni milion 8 yaani 8,000,000
Ukitaka ushahidi sema nikuwekee hapa.
Kusifiwa kwa kufanya jambo la kijinga ni dharauWakuu, recently nilisikia Mkulu akijisifu kuwa Baharia ambaye ni PhD holder akila 500,000 kwa mwezi na kwamba huyu Daktari alikua "vere komfotabo"!
Kwa sasa kwa Tz gharama za Masters si chini ya million tatu na PhD si chini ya 10m, sasa kama unafanya investment ya more than 15m pamoja na miaka uliyosoma yote kisha unalipwa laki tano na uko poa tu Basi either wewe ni tatizo au hio PhD yako ni ya kubumba.
Soma ili uweze kujitegemea na uweze kuwasaidia na wengine, kwa laki tano kamwe narudia kamwe utakua umeharibu muda wako na kuwapotezea wengine hizo bahati za kusoma na kuw productive, huwezi kuwa productive kwa salary ya laki tano.
Watu kama hawa unakuta hawawezi kuandika hata two pages Concept Note, narudia either yeye au hio degree yake ina matatizo.
Shukrani