Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

sasa dada yako kakukosea nini?
 
Tangu mwaka 2013 until now,sijawahi ku date..(not to f*ck)..Nina some flings, mistress,hoes,bishes,maisha yanaenda..
 
Anza kudate na wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kesho kutwa... Utakuja kunishukuru
 
Uzi umekaa kinafiki sana!!!!

Anyways

Kama unawachukia wanawake..jaribu...kuwapenda masela!!!
 
Punguza shobo,we furaha za wenzio zinakuhusu nn?Halafu wakati wewe uko kwenye muda wako Bora nani alikughasi ghasi?Chakukushauri jibebe ukaishi porini mkuu(off the grid)no phone no shit,uishi wewe mwenyewe na roho yako mbaya
 
There is a very thin line between hate/ strong resentment/despise and love-pain....
 
Kwani mnataka tuwe tunawapiga mabao mangapi?
 
Kwanini asirudie mwanamke?
 
Kemea pepo utakua na Jini mahaba linalokufanya usipende kuoa Libak likumilik wewe tu nenda ukaombewe utolewe shetan hilo
 
= all women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…