Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too

Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake

Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
How old are you?
 
Sijaolewa mimi bado natafuta bwana
Hivi nikikupiga mistari Mimi sio wa kimoja chali utanielewa kweli au ndio tutazingushana mpaka pasaka ipite tupo kwenye Ramadhan
 
Nyie mnaojisifia ndo hamna kitu yaani...empty kabisa
 
kuna mwalimu wangu kipindi kitambo sana alikua na tabia ya kusema 'mwanamke ni shetani' uku akitizama mabinti wa darasa kwa macho ya ukali hii ilikua ni bada ya kufundisha akiwa anapiga story za kuchangamsha darasa

nafikiri alipata tatizo kama lako
 
Wanawake ni muhimu sema yakikuendea vibaya basi ndio utawachukia ila wanatupiga tough sna Kuna mmoja Niko nae hapa ananipa furaha kwenye vita
 
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too

Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake

Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Safi sana, anza kutwanga risasi wazazi wako na dada zako wote. Halafu jitwange na wewe kwa kuwa una mahusiano.
 
Nyie mnaojisifia ndo hamna kitu yaani...empty kabisa
Nataka ujaribu kujionea km maneno hayo uliyoambiwa ni ukweli au ni UONGO tufanye mchakato alafu majibu utayapata baada ya kugundua kwamba sipo empty nipo full ujazo, kwa hio tunafanyaje hapo sasa au Mzabzab atazuia Goli?
 
Back
Top Bottom