Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Bora fisad kuliko Ushoga aiseeHii nguvu ingetumika kukamata mafisadi tungekua mbali sana kama taifa.
Anxisha weye hiyo nguvu, sasa hivi tuwashughulikie washenzi.Hii nguvu ingetumika kukamata mafisadi tungekua mbali sana kama taifa.
Hii nguvu ingetumika kukamata mafisadi tungekua mbali sana kama taifa.
Wote ni waovu hakuna bora. Fisadi anaweza kula hadi hela za kununua mahindi kwenye baa la njaa... fisadi anatafuna hela za kununulia madawa.. fisadi anatafuna hela za mradi wa umeme... fisadi anatafuna hela za kununulia ambulance.. ufisadi unasababisha vifo vingi mno ukifuatilia. Na pia mafisadi wengi ndo watuhumiwa wakuu wa kuwaingilia vijana. Baadhi wametajwa kabisa kuwaoa hao mashoga. Futa kauli yako kusema fisadi ni bora.Bora fisad kuliko Ushoga aisee
Anxisha = anzishaAnxisha weye hiyo nguvu, sasa hivi tuwashughulikie washenzi.
Wakati natàfuta channel inayorusha mechi za mpira baada. Ya Ile ya Simba nilikuta channel ikionesha vijana na watoto wakicheza uchafu mtupu. Hiviii wakubwa hawayaoni hayo. Tunapiga kelele kuhusu maadili lakini tunaruhusu vipindi vya hovyo kirudhwa hewani Tena vikishirikisha watoto, tutafika kweli?!!!! Chukueni hatua jamani enyi wenye mamlaka!!
Kirudhwa=kurushwaWakati natàfuta channel inayorusha mechi za mpira baada. Ya Ile ya Simba nilikuta channel ikionesha vijana na watoto wakicheza uchafu mtupu. Hiviii wakubwa hawayaoni hayo. Tunapiga kelele kuhusu maadili lakini tunaruhusu vipindi vya hovyo kirudhwa hewani Tena vikishirikisha watoto, tutafika kweli?!!!! Chukueni hatua jamani enyi wenye mamlaka!!
Huna akiliBora fisad kuliko Ushoga aisee
Unaweza kukuta hela za kifisadi ndizo zinatumika kutengeneza mashogaBora fisad kuliko Ushoga aisee
Yule Waziri wa Afrika Kusini alikataa kabisa kukaa na mtu mweusi, Nani yule ? Botha, alisema hawa watu hawawezi kufikiri zaidi ya Libido, wape chakula wale wao ni kujamiiana tu. Hii ndiyo laana yetu. Wala usishangae hivi ndivyo tulivyo.Hii nchi ni rahisi sana kuitawala.
Bado wananchi akili zao ziko chini sana.
Ni wajibu wako kuifikishia taarifa Mamlaka unayoituhumu kutochukua hatua. Kwa mfano bora ungepeleka taarifa Polisi ukasema TV fulani walionyesha kwenye channel fulani saa fulani picha za maudhui mabaya. Kama hatua haikuchukuliwa hapo ndipo unaweza kuilalamikia Mamlaka hiyo. Kulalamika hapa kwenye JF hakusaidii sana.Wakati natàfuta channel inayorusha mechi za mpira baada. Ya Ile ya Simba nilikuta channel ikionesha vijana na watoto wakicheza uchafu mtupu. Hiviii wakubwa hawayaoni hayo. Tunapiga kelele kuhusu maadili lakini tunaruhusu vipindi vya hovyo kirudhwa hewani Tena vikishirikisha watoto, tutafika kweli?!!!! Chukueni hatua jamani enyi wenye mamlaka!!
Ila nina fuvu lenye fikra bora pia ni Bora kukosa Akili kuliko kutetea UshogaHuna akili