Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria?
Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
 
Wenye nchi yao wanakwambia sheria zimetungwa ili zivunjwe!, zisingevunjwa wasingezitunga!.
 
Kama rais mwenyewe ndiye anayeongoza kuvunja sheria za nchi, mimi ni nani hata nisivunje!.
 
Back
Top Bottom