Kumbe mafuta nayotumia kwenye gari ni sawa na ningekua napanda bodaboda!!



Huyu naye hayajui magari, Naona anatafuta Ngo'ombe wa kumkamata amuuzie gari yake.

Hakuna 1kr ya piston 4

Hakuna 1kr ya Cc1290

Hiyo aliyopost hapo ni Passo ya piston 3

Na engine yake ni 1kr na ina Cc990

Passo ya Piston 4 muonekano wa engine hauko hivo.

Passo ya piston 4 ambayo ina engine K3-VE muonekano wake ni huu...👇🏾👇🏾





Na inakuwa na Cc1290.
 
Usafiri wa bidaboda kwa dar umekuwa usafiri ghali sana especially peak hours , kweli ukipiga hesabu vizuri gari binafsi inakuwa ni salama na rahisi .
Jana kuna boda kadhaa wameni ' quote ' shs 7000 one way kutoka tabata hadi uhasibu mataa,hii ni route ambayo hata nusu lita haiishi kwa babywalker
 
Nchi za wenzetu gari ni part and parcel ya basic needs, yani kununua gari hakumpi mtu stress kama sisi huku.

Wabongo tunanunua gari sababu ya ufahari tuu.

Na kwa umbumbumbu wetu wabongo tukiona mtu kanunua gari basi ndo tunafanya kama kipimo cha maendeleo kumbe sio kweli.
 
Kwahiyo gharama za gari ni mafuta tu? Mwaka mzima wa kumiliki passo nilijua ushamba ushakutoka kumbe bado [emoji1][emoji1]
Gharama kubwa kwenye gari ni maintanace! Service za kawaida haziumizi sana pesa
Unaweza kupunguza matengenezo mengi kwa kuwa makini na uendeshaji wako , kuna wanaotumia magari kwa miaka mingi na hisikii kama kabadilisha ball joints au bush yoyote ,
 
Gharama kubwa kwenye gari ni maintanace! Service za kawaida haziumizi sana pesa
Unaweza kupunguza matengenezo mengi kwa kuwa makini na uendeshaji wako , kuna wanaotumia magari kwa miaka mingi na hisikii kama kabadilisha ball joints au bush yoyote ,
Ni kweli kabisa mkuu
 
Kipimo cha maendeleo ni kulala nyumba za nyasi Mkuu ...Maendeleo ya watu au Nchi ni wananchi wake kutumia vitu bora ambavyo vinawarahisishia utendaji kazi na wanakula lishe bora na pia hawaumizi kichwa saana kupata mahitaji muhimu...gari ni kama simu tuu ni vile tumechelewa ndio maana tumeweka kwenye kundi la starehe..
 
Hii toy itakuwa ni 4wd maana inakula sana wese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…