Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
- Thread starter
- #61
Pumbavu, umesoma lakin title ya maada?Hizo gharama ulizopiga ina maana unafanya kazi siku zote za mwezi hamna siku umepumzika?
Hakuna siku umekaa foleni engine ikiwa inanguruma?
Hufanyi service? Huoshi gari? Hujazi hata upepo? Hulipii parking? Tozo za madaraja?
Hizo zote ni gharama za kumiliki gari.
Uzi unazungumzia gharama za mafuta.
Yes. Nafanya kazi siku zote, 7 days a week. 365 days a year. Non stop.
Biashara yangu inaniweka mjini.