Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Huwezi kumzuia mtu mwenye uwezo wa kupima nguvu zako, kalata yako ya mwisho ni wewe kujiamini, kuhakikisha hauna doa lolote la matendo mabaya, namaanisha mtu akikutishia kukufanyia ushirikina na uwezo akiwa nao, kweli anaweza kukudhuru, kusalimika kwako ni wewe kufunga Kila aina ya mlango/channel door ktk utu wako, yaani uondoe Ile sababu ya huyo mtu kukudhuru, ama uhakikishe rohoni mwako hakuna kitu kinachokusuta kuhusu muenendo wako wa maisha ama jambo Fulani ulilomtendea, ama ulilowatendea watu wengine.

Mfano, ukiua mtu, mtu yeyote hata asiye na undugu na huyo uliyemtoa roho, Kunapatikana sababu ya wewe kuadhibiwa namtu yeyote, au ukiiba kitu sehemu fulani, hiyo ni sababu ya wewe kuadhibiwa na yeyote hata aliye mbali na hiyo sehemu.

Hivyo inaweza kuwafanyia matendo mabaya watu wa mwanza, lkn ukaja kuadhibiwa na watu wa mtwara, hii Iko hivyo kiroho, unapofungua mlango/kutoa sababu ya kutendwa utatendwa na yeyote ambaye kapata huo mlango/iyo sababu.

Solution ni wewe kuwaomba mthamaha watu uliowakosea, ama kutubia matendo yako mabaya unayoyafahamu rohoni kwako, hakikisha hakuna kitu kinachokusuta ama kukuhukumu kwa matendo yako, na hapo ndipo unakuwa salama, hakuna wa kukujia maana umeshaondoa sababu ya wewe kutendwa.

Iko hivi watu wengi wanateswa na ushirikina kwa sababu ya mienendo ya matendo Yao, yaani Kila mtu ktk maisha yake ana uovu Fulani ambao kaukomalia hataki kuukataa wala hataki kukubali makosa, hapa ndipo washirikina/Pepo wanapata sababu za kuwatenda watu haswa maana milango Iko wazi, yaani imefika wakati tunatembea tukiwa ktk hali sawa na viumbe hatarishi ambao wanaweza kukudhuru muda wowote.

Elimu hii huwezi kuipata kanisani wala msikitini, huko kote watu wamepagawa na hizo roho chafu, kuanzia waumini, mpaka viongozi wa kidini.
Vipi kuhusu watoto wadogo wasio na mambo yoyote machafu au kuhisi
Aisee nimepitia comment wadau mnatema vitu hadi ninasikia amani.

Ninauhakika kina Kiranga wanapata kitu.
Wapewe hongera kwakweli jamaa wanatoa elimu nzuri sana
 
KUHUSU hii issues ya negative na positive effects nilisoma kwenye kitabu Cha Robert Kiyosaki Cha Rich Dad poor Dady, kama sikosei kwenye chapter ya Faith au Desire (ni siku nyingi kidogo). Xo hata ukitaka ku accumulate wealth ni sharti ujue hivi energy/nguvu zinavyotenda kazi/action, either intentionally or naturally.
Nikilainisha kidogo hata ukiwa na wivu na mpenzi wako unazalisha negative Energy baina yenu ni rahisi kuachana.
 
Vipi kuhusu watoto wadogo wasio na mambo yoyote machafu au kuhisi

Wapewe hongera kwakweli jamaa wanatoa elimu nzuri sana
Kabisa wapewe bustani lao...

Nilishawahi kutana na thread inaitwa; Annunaki created man, kuna wadau walishusha vigano visakale na visasili huku wakishindilia na tangible & relevant evidence, aisee ilikua ni pata nguo shika kuchanika😁 salute sana kwao, kina Dumas the terrible Artificial intelligence etc. Ebwana Big up sana wakuu.

Wakuu wenye deep knowledge ya haya mambo (enlightenment) mtubaliki na thread maridadi kwa lengo la kujifunza kwa lugha adhimu, rahisi kabisa ya kiswahili.

Mkipata wasaha mtukumbuke wadau wa JF tu, haya mambo ni mapya kabisa humu.
Dumas the terrible DR Mambo Jambo, Kiranga Mshana Jr na wadau wengine wenye upeo mpana wa haya mambo tuchangie pamoja.

Shukrani...
 
Tupo pamoja mkuu nashukuru kwa kutambua uwepo wangu hapa jamvi maridhawa hope Mada pendwa zitataradadi soon!
😁😁
 
Sisi Tunaishi kwenye 3rd Dimension Mkuu Ukiwa Kwenye 11 au 12 Dimension Huyo Malaika na Ni mtu anayejitambua sana yaani kama Akiwepo kwa Dunia Ya Sasa Bhasi watamuita mtume au Nabii au hata Wengine watampa Majina matakatifu sana
Mkuu, mbona unazungumzia vitu ambavyo haufahamu uhakika wake?
 
Hakuna cha ajabu hapo Qur-an ilisha eleza hayo yote miaka 1000 na ... Iliyo pita kwa hekma za Allah akampa Mtume Muhammad Qur-an kama miujiza yake kwa kuwa alifahamu Umma wake ni wa sayansi na teknolojia.
 
Back
Top Bottom