Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Vipi kuhusu watoto wadogo wasio na mambo yoyote machafu au kuhisi
Aisee nimepitia comment wadau mnatema vitu hadi ninasikia amani.

Ninauhakika kina Kiranga wanapata kitu.
Wapewe hongera kwakweli jamaa wanatoa elimu nzuri sana
 
KUHUSU hii issues ya negative na positive effects nilisoma kwenye kitabu Cha Robert Kiyosaki Cha Rich Dad poor Dady, kama sikosei kwenye chapter ya Faith au Desire (ni siku nyingi kidogo). Xo hata ukitaka ku accumulate wealth ni sharti ujue hivi energy/nguvu zinavyotenda kazi/action, either intentionally or naturally.
Nikilainisha kidogo hata ukiwa na wivu na mpenzi wako unazalisha negative Energy baina yenu ni rahisi kuachana.
 
Vipi kuhusu watoto wadogo wasio na mambo yoyote machafu au kuhisi

Wapewe hongera kwakweli jamaa wanatoa elimu nzuri sana
Kabisa wapewe bustani lao...

Nilishawahi kutana na thread inaitwa; Annunaki created man, kuna wadau walishusha vigano visakale na visasili huku wakishindilia na tangible & relevant evidence, aisee ilikua ni pata nguo shika kuchanika😁 salute sana kwao, kina Dumas the terrible Artificial intelligence etc. Ebwana Big up sana wakuu.

Wakuu wenye deep knowledge ya haya mambo (enlightenment) mtubaliki na thread maridadi kwa lengo la kujifunza kwa lugha adhimu, rahisi kabisa ya kiswahili.

Mkipata wasaha mtukumbuke wadau wa JF tu, haya mambo ni mapya kabisa humu.
Dumas the terrible DR Mambo Jambo, Kiranga Mshana Jr na wadau wengine wenye upeo mpana wa haya mambo tuchangie pamoja.

Shukrani...
 
Tupo pamoja mkuu nashukuru kwa kutambua uwepo wangu hapa jamvi maridhawa hope Mada pendwa zitataradadi soon!
😁😁
 
Sisi Tunaishi kwenye 3rd Dimension Mkuu Ukiwa Kwenye 11 au 12 Dimension Huyo Malaika na Ni mtu anayejitambua sana yaani kama Akiwepo kwa Dunia Ya Sasa Bhasi watamuita mtume au Nabii au hata Wengine watampa Majina matakatifu sana
Mkuu, mbona unazungumzia vitu ambavyo haufahamu uhakika wake?
 
Hakuna cha ajabu hapo Qur-an ilisha eleza hayo yote miaka 1000 na ... Iliyo pita kwa hekma za Allah akampa Mtume Muhammad Qur-an kama miujiza yake kwa kuwa alifahamu Umma wake ni wa sayansi na teknolojia.
 
Endelea kujidanganya hapo ulipo umeshalogeka tayari kwa ku underestimate nguvu za Shetani, dawa ya shetani ni Yesu Kristo al masih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…