DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuuliza Ndiyo hasa Sehemu ya Kujifunza..Shame on me?! You cant be serious.
It must be shame on the person, who is mweupe and then haulizi.
And most importantly, shame on the person like you anaedhani anajua sana halafu hataki kuelimisha wenzie ambao ni 'weupe'
Mbona kuna watu wanajua sana humu kama akina DR Mambo Jambo na Kiranga tukiuliza kitu wanatuelekeza?
Inawezekana na wewe hujui tu unashindwa kujibu maswali unakimbilia kuyaita ya kijinga.
Na yoyote anayejifunza lazima Aulize maswali..
Maswali yako Yana Msingi sana!
Na hakunaga Swali la Kipuuzi Kokote kule!
Psychologically Maswali madogo sana Huweza Kudermine IQ ya mtu kwenye Jinsi anavyoweza Kujibu maswali hayo..
kingine Busara kwenye Maswali ya Kijinga huonekana kwenye Majibu ya Busara..
kama Aliona Ni maswali ya Kijinga angeyajibu kwa busara..
lakini ni vigumu Kuyajibu maswali ya Kipuuzi kwa mtu ambaye naye hana Elimu nayo..
Dunia Ya sasa Inaharibiwa Sana na Vijana wanaohisi wanajua Ila Kuelezea anachojua hawezi..