Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Kuuliza Ndiyo hasa Sehemu ya Kujifunza..
Na yoyote anayejifunza lazima Aulize maswali..
Maswali yako Yana Msingi sana!

Na hakunaga Swali la Kipuuzi Kokote kule!
Psychologically Maswali madogo sana Huweza Kudermine IQ ya mtu kwenye Jinsi anavyoweza Kujibu maswali hayo..

kingine Busara kwenye Maswali ya Kijinga huonekana kwenye Majibu ya Busara..
kama Aliona Ni maswali ya Kijinga angeyajibu kwa busara..

lakini ni vigumu Kuyajibu maswali ya Kipuuzi kwa mtu ambaye naye hana Elimu nayo..

Dunia Ya sasa Inaharibiwa Sana na Vijana wanaohisi wanajua Ila Kuelezea anachojua hawezi..
 
Hajajibu hoja kwa madai kuwa ni ya kijinga, kana kwamba haitoshi, ananitaka nikae kimya!

Ni kitendo ambacho kimenisikitisha sana.
 
Taarifa zako hazipelekwi kwa Mungu, bali kuna mahali zinahifadhiwa mbinguni, ni kama ofisini tu file lako linavyopelekwa masijala na ndicho hawa Malaika wanachofanya. Siku ya Qiyama file lako linanyofolewa na kusomewa mwenendo wako.
Chief, mbona ukitazama kimantiki tu ndio hivyo. File ukilipeleka masijala ndio sawasawa tu na umepeleka taarifa zako kwa Serikalini, kwa Rais, kwa nini tusiseme kuwa taarifa zikipelekwa huko zinakohifadhiwa mbinguni ndio zimepelekwa kwa Mungu?


Sheikh, kwa maelezo yako inaonesha Ufalme wa Mbingu umeuchukulia kimwili sana kuliko kiroho.

Ndio maana malaika mlinzi umechukulia kashika ngao na jambia anapigana na vinavyoweza kudhuru mwili. Je ukichukulia kuwa anacholinda ni roho zaidi haitaleta maana zaidi ya yeye kuwa Mjumbe?. Yaani kukupatia taarifa na maarifa ya kuiepusha roho yako na madhara? Je haibadilishi kutoka kushika jambia hadi kushika memo, misahafu na ilmu ya kimbingu?

Pia issue ya majeshi ya malaika ya mbinguni yaliyopigana na jeshi la shetani. Unafikiri walikiwa na mabomu na mikuki? La. Shetani alijitungia ujumbe wa kupotosha. Gabrieli na wenzie wakasimamia ujumbe sahihi. Hiyo vita kuu mbinguni ilikuwa ni MICHUANO YA MIDAHALO MIKALI! A clash of ideas.

Ukiuchukulia Ufalme wa Mbingu ki-Roho zaidi. Utagundua wazo, taarifa na maarifa yanachukua nafasi ya kwanza kabla hata ya nishati na maada (mwili). Malaika wanakuwa wa kudili na ujumbe zaidi kuliko hata kuhesabu chakula na athari nyingi e za kimwili.

Na kugusia, tu malaika kupuliza baragumu athari ya msingi ni kuwaarifu viumbe wote kwa mwisho ndio huu na kupeperusha milima ni maudhi madogomadogo tu. Athari ya ki-Roho inaanza kisha ya kimwili yanafuatia.
 
Kuna Kitu Kimoja ambacho nimekigundua Kwenye Uandishi
Mimi nahisi umezunguka, jamaa kuna vitu anaviamini kichwani (vimekaa kiimani zaidi) mwake na hataki kuingiza vitu vipya kichwani coz anaamini ndiyo sahihi zaidi.

Watu wa aina hii hupenda zaidi kubishana mpaka mwisho ili aonekane kashinda na siyo kuelekezana.Kwa kifupi huwa hawataki kushindwa.
 
naiwinda stage ya I AM kwa spidi sana, nimejipa January na February lazima niwe level nyingine
 
wote wapo sawa, tofauti yao ni mitizamo.

Mjumbe/mtumishi, wote hutimiza majukum yao kwa niaba ya boss wao.
 
Habari mkuu pm yako umefunga,

Naomba na Mimi unisaidie hzo materials
Natanguliza shukrani
 
Mada iendeleee jamani...
Nilitaka nishushe mada yangu kuhusu kuachana na shangazi dorry ila nimeona hapana...

Ngoja nije huku kujadili mambo muhimu huwenda nikajua frequency zangu kwanini napenda mishangazi na kwanini mishangazi inanitumia hovyo....

Nawaza pia kwanini wataalam wasilete na elimu ya antielogy hii itasaidia vijana kujua njia ipi sahihi ya kuishi na mishangzi hapa mjini


Ngoja niamke sasa
 
Jazia Nyama hapo kwenye hybrids Inakuwaje kuwaje mpaka binaadamu anazaliwa nao damuni Hao viumbe
 
Mbona Huku uraiani mambo ni tofauti Sana
 
Dokta Nitajufuata pm mkuu
 
Na Mimi nisaidie ivyo vitabu mkuu mana elim n bahari🙏🏽
 
Mzee mbona tunaona mpaka watoto wadogo wa miezi 6 wanarogwa na wengine wanarogwa tangu wakiwa mimba , je Hao huwa wanakuwa wamefanya makosa gani ?? Yanayo toa nafasi ya wao kurogwa !?
 
Mkuu nahitaji hayo maarifa nifanyaje!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…