Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Mwamba umepiga mule mule yaani....
Wanaoombea.... Mtu akibaki ngangari, wanasema "Hana Imani ndo Maana hawezi kupokea uponyaji"
Waangalie walokole kindakindaki, ni majinga flani kama makondoo hivi.😂😂
 
Humu mnachanganya mambo sana ndio maana wengine hawaelewi kabisa mnachozungumzia. mnachanganya mambo:

Intuition.
Chakra.
Aura.
Psychic abilities.
 
Ndio maana basi wanasema mchawi ukimtisha ama kumwambia kuwa unajua analoga hawezi kukufanya lolote
 
Waganga ulaya wapo mkuu hawapo kama walivyo waganga wa africa ila wapo wanatibu na kupiga ramli ambayo waafriika wenyewe hawaifikii.
 
Huu uzi unaeleweka vzur saana. Maana ushahid upo kwenye bibilia na pia ktk maisha ya kila siku. Kwa mfano kwanin wengi wanaopagawa na pepo na watu maskin au wenye shida shida flan,au utakuta wengi ni wanawake.
 
Hata Biblia imeandika "Hofu ni dhambi tena neno hilo limetokea mara 360"

"
Usiogope"
 
Huu uzi unaeleweka vzur saana. Maana ushahid upo kwenye bibilia na pia ktk maisha ya kila siku. Kwa mfano kwanin wengi wanaopagawa na pepo na watu maskin au wenye shida shida flan,au utakuta wengi ni wanawake.
wewe kaa hukohuko maporini
usije mjini
 
Kwa kifupi kabisa ni kuwa ujanja Upo kwenye namna unavyojibu yanayokutokea maishani

Usijibu kila jambo, Usijibu chochote bila kufikiri kwanza, siyo Lazima kujibu kila jambo

Ni rahisi tu lakini ujuaji, kupenda kushinda kila ligi na kujiona (ego) ndiye adui yetu namba 1
 
Ego ni shida kubwa.
 
Ego ni shida kubwa.
Ego unaeza ishinda kwa kujilazimisha kua na upendo kamili(usio na masharti)

1wakorintho13:4
"upendo huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabari wala haujivuni.

Wakolosai3:14
"jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.

Ukiwa na upendo ego utaishinda kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…