Whatchers ni watu wa namna gani wana hatari gan na utamtambua kwa namna ganifrequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani
Wiseman.Whatchers
Whatchers ni watu wa namna gani wana hatari gan na utamtambua kwa namna gani
Sisi wa kwa Mwamposa frequency zetu ziko juu sana. Hatuhitaji hiyo elimu.Its a mockery to give a mirror to the blind.Hii elimu ni ya juu sana ndugu ili uelewe lazima uwekeze muda wa kutosha kutafta hii elimu.
Kwani uongo basi kwanza ukishaanza hizo habari za resonance tayari watu chali kujua hata ni vitu gani sembuse frequency ya 7Hz kuna vitu ni kwa wachache.Hayo mambo ya low frequency,high frequency,positive na negative energies ni elimu ya juu sana,usitegemee uzi wako kupata wachangiaji.
Haya ni katika elimu za juu katika ulimwengu wa kiroho,Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Usiogope wanga hawana elimuTrust me humu pia wanga wamo tena wanasoma replies na wanaelewa haya mambo. Inatisha
Umeandika vitu vya kiundani sana.Hata wale wanaofanya meditation wakifikia low state of self consciousness wanaweza kuona vitu vya kiroho na kuinteract na spiritual entities.Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Hata wale wanaofanya hypnotic techniques wanahakikisha mzu yupo kwenye low state of mind ndo hypnosis inafanikiwa.Hii mbinu inatumiwa na makanisa ya kilokole bila wao kujua.Mfano,mtu akiongea maneno ya kujirudiarudia (mfano,anasema asante yesu....)anaingia on trance state(low frequency).upo sahihi ndo maana mtu akitaka kulogwa huwa anapimwa kwanza Nguvu zake Kiroho na kuangalia sehemu dhaifu.
mfano; wakapima wakaona jamaa nk mzinzi, mlevi, hasira, basi wanakutupia kitu kwenye weakness husika ili wakupige vizur.
Kuna mmoja mganga nilishamsikia Akisema hakuna kazi ngumu kama kuua mtu..kwanini? Ni hivi mfano Mungu amempangia George umri wa kuishi ni Miaka 60 sasa wakati wanaotaka kumuua George ana umri wa miaka 30 Wanachokifanya inabida washushe miaka yake 30 ya aliyopangiwa na Mungu huwa ni kazi sio kitoto maana mtu huyo anauawa Umri bado haujafika ambao Mungu aliweka agano lake hapo. Ndo maana watu wanaouawa kabla ya muda wao Roho zao huwa zipo active ndo ule msemo wa Damu ya Mtu ni nzito huwa inamfatilia muuaji.
BUDDHA, KRISHNA NA YESU walikuwa na frequency za juu sana.Sisi wa kwa Mwamposa frequency zetu ziko juu sana. Hatuhitaji hiyo elimu.
Yesu anatosha.
Mkuu ungejazia nyama hiyo low frequency ni kitu gani na ikoje kwa mwanadamuKnowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Ingekuwa hivyo viumbe visingekuwa na nguvu kubwa kiasi Hicho.. Hao wanaweza kwakuwa na upungufu wa kinga za kirohoKnowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.
PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Wengi mmetuacha kwenye frequency. Neno frequency ni la kifizikia. Physics na mambo ya kiroho wapi na wapi?Its a mockery to give a mirror to the blind.Hii elimu ni ya juu sana ndugu ili uelewe lazima uwekeze muda wa kutosha kutafta hii elimu.
upo sahihi!Hata wale wanaofanya hypnotic techniques wanahakikisha mzu yupo kwenye low state of mind ndo hypnosis inafanikiwa.Hii mbinu inatumiwa na makanisa ya kilokole bila wao kujua.Mfano,mtu akiongea maneno ya kujirudiarudia (mfano,anasema asante yesu....)anaingia on trance state(low frequency).
Nadhani ni lstate of mind/consciousnessMkuu ungejazia nyama hiyo low frequency ni kitu gani na ikoje kwa mwanadamu