Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Whatchers
frequences na vibrations zinamata lakin, kufikia kiwango cha vibration kubwa kiasi cha wachawi akikuona anabadili njia sio rahisi hata kidogo, pia hao majini jana rank zake lakin majini wengi ni dhaifu, watchers ndo hatari sana na wale walio dhaliwa nao damuni yani
Whatchers ni watu wa namna gani wana hatari gan na utamtambua kwa namna gani
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Haya ni katika elimu za juu katika ulimwengu wa kiroho,
Elimu hii ukiielewa na kufuata kwa kuifanyia kazi kikamilifu unaweza jikuta ni miongoni mwa manabii na watenda miujiza na makubwa zaidi kuliko hayo.
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Umeandika vitu vya kiundani sana.Hata wale wanaofanya meditation wakifikia low state of self consciousness wanaweza kuona vitu vya kiroho na kuinteract na spiritual entities.
 
upo sahihi ndo maana mtu akitaka kulogwa huwa anapimwa kwanza Nguvu zake Kiroho na kuangalia sehemu dhaifu.
mfano; wakapima wakaona jamaa nk mzinzi, mlevi, hasira, basi wanakutupia kitu kwenye weakness husika ili wakupige vizur.

Kuna mmoja mganga nilishamsikia Akisema hakuna kazi ngumu kama kuua mtu..kwanini? Ni hivi mfano Mungu amempangia George umri wa kuishi ni Miaka 60 sasa wakati wanaotaka kumuua George ana umri wa miaka 30 Wanachokifanya inabida washushe miaka yake 30 ya aliyopangiwa na Mungu huwa ni kazi sio kitoto maana mtu huyo anauawa Umri bado haujafika ambao Mungu aliweka agano lake hapo. Ndo maana watu wanaouawa kabla ya muda wao Roho zao huwa zipo active ndo ule msemo wa Damu ya Mtu ni nzito huwa inamfatilia muuaji.
 
Hata wale wanaofanya hypnotic techniques wanahakikisha mzu yupo kwenye low state of mind ndo hypnosis inafanikiwa.Hii mbinu inatumiwa na makanisa ya kilokole bila wao kujua.Mfano,mtu akiongea maneno ya kujirudiarudia (mfano,anasema asante yesu....)anaingia on trance state(low frequency).
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Mkuu ungejazia nyama hiyo low frequency ni kitu gani na ikoje kwa mwanadamu
 
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.

Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency.

PEPO MCHAFU anamuingia mtu akiwa at low frequency. Siri iliyopo hapa ni kucheza frequency game isishuke, msibani watu wanalogwa sana coz wana huzuni na frequency zao zinakuwa down, bila shaka umewahi kusikia msiba mmoja umesababisha msiba mwingine then wanasingizia presha..
Ingekuwa hivyo viumbe visingekuwa na nguvu kubwa kiasi Hicho.. Hao wanaweza kwakuwa na upungufu wa kinga za kiroho

Soma hii

Its a mockery to give a mirror to the blind.Hii elimu ni ya juu sana ndugu ili uelewe lazima uwekeze muda wa kutosha kutafta hii elimu.
Wengi mmetuacha kwenye frequency. Neno frequency ni la kifizikia. Physics na mambo ya kiroho wapi na wapi?

Nataka kujifunza hii elimu ya low na high frequency. Nina wasiwasi nitatakiwa kwanza nianze na introduction ya vitu vingi vitakavyonipotezea muda kama mambo ya Nibiru.
 
Hata wale wanaofanya hypnotic techniques wanahakikisha mzu yupo kwenye low state of mind ndo hypnosis inafanikiwa.Hii mbinu inatumiwa na makanisa ya kilokole bila wao kujua.Mfano,mtu akiongea maneno ya kujirudiarudia (mfano,anasema asante yesu....)anaingia on trance state(low frequency).
upo sahihi!
 
Back
Top Bottom