ila si ndio mwenye hisa nyingi zaidiCEO Mark Zuckerberg wa Facebook ana 28% kwa hiyo katika dunia ya sasa hivi kawaida cha msingi hela inaingia.
HahahaHizo unajaza tu,si uliona ASTV Le Mutuz alikuwa na hisa 0.000098%.
Hizo unajaza tu,si uliona ASTV Le Mutuz alikuwa na hisa 0.000098%.
We na huyo magufuli wako ipo namna.sio kila ushauri ana oshauriwa na mama jeska aufuate.Tanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali
Hili tangazo huwa linaniachaga hoi sanaπππ sijui ni garage ya mangi ileππLete spana mara moja tuhudumie gari
Kwani jamaa huwa ni kabila gani? Na ndio maana kaamua kuwa karibu na makonda ili kufunika hayaHayo majina ya hao akina majizo yanonesha ni wa asili ya either Burundi, Rwanda au DRC Jean Claude, Antoine, Ciza sijui ni Chiza aisee Bongo wakimbizi ni wakutosha
Hawezi kuelewa ulichoandika hapaOne share is enough soma kesi ya Solomon vs solomon