Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo unajaza tu,si uliona ASTV Le Mutuz alikuwa na hisa 0.000098%.
 
Tanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali
We na huyo magufuli wako ipo namna.sio kila ushauri ana oshauriwa na mama jeska aufuate.
 
Mleta mada humo kichwani mwako hakuna akili, kuna maganda ya maembe...
 
Hayo majina ya hao akina majizo yanonesha ni wa asili ya either Burundi, Rwanda au DRC Jean Claude, Antoine, Ciza sijui ni Chiza aisee Bongo wakimbizi ni wakutosha
Kwani jamaa huwa ni kabila gani? Na ndio maana kaamua kuwa karibu na makonda ili kufunika haya
 
Back
Top Bottom