Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Mkuu huyo rafki yake sana na majey ndo huyo Claud, na pia hlo jina la Francis kajipa tu sio jina lake halisi
 
Ila kitu kimoja ninachojua Tanzania, asilimia zaidi ya 50 ya makampuni yanaonesha wamiliki ambao kiuhalisia siyo wamiliki...

Kuna kitu kinaitwa Nominal Shareholding, nadhani kinatumika sana na kinaficha true identity ya wamiliki halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…