Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

Kumbe Majizzo ni mwanahisa tu E-FM?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
CE06468D-B787-4FDE-A1D0-538781148B06.png
halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
 
Aliwahi kukwambia anachomiliki na asichomiliki? Unajua vitu vyote na asilimia ya anavyomiliki?

Kuna namna inakuathiri kutokana na umiliki wake huko EFM?

Mwisho kabisa, jitahidi kuweza kujiongeza na kuboresha mambo yako mkuu.
Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
 
Back
Top Bottom