Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana.
Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia.
Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji hafahamu na wala haya muhusu sababu hayapo jimboni mwake.
Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia.
Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji hafahamu na wala haya muhusu sababu hayapo jimboni mwake.