Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

Wimbo wa Dar. Labda huko Dar ndiko kwenye "high incidence ya 'kulana' na mashemeji", ndiyo maana huko Tanganyika hawaelei chochote, wanaona ni obscenity.
Actually umemujibu exactly,hata yule mujomba wako mudogo wa London asingependa kusikiliza an idiotic music wa kisingeli,
Infact ni music wa despitate people (In haya ancient)
 
Wakuu mbona kiingilio muleba 5000 na sehemu zingine 10000 kwani muleba uchumi uko juu ama mm sijaelewa wakuu mnielekeze
 
Shangwe ndogo zaidi.....mwanzo mzuri huo mi nilidhani wakati wanaperform mashabiki wote waliondoka wakawaacha wenyew
Ni bora hata waondoke unaweza jipa moyo kwamba wamechoka, ila kuperform watu wanakuangalia tu na una hit song inakata maini sana
 
Actually umemujibu exactly,hata yule mujomba wako mudogo wa London asingependa kusikiliza an idiotic music wa kisingeli,
Infact ni music wa despitate people (In haya ancient)
Ha ha ha ha haaaaa
 
Wakuu mbona kiingilio muleba 5000 na sehemu zingine 10000 kwani muleba uchumi uko juu ama mm sijaelewa wakuu mnielekeze
Naona Ruge alihisi akiweka kiingilio kikubwa watu watakuwa wachache, si unajua kule Muleba imefanyika kwa bahati mbaya baada ya kuukosa uwanja wa Kaitaba wa Bukoba Mjini uliokuwa kwenye matengenezo, Muleba hakuna watu wengi kama Bukoba mjini naona alitaka kuwashawishi kujaza uwanja
 
Haiwezekani angekuwa anaishi hvyo angestuka akahamia hata Bukoba mjini
 
Singeli imepewa sana promo hivi karibun, na clouds ndo wameipaisha sana. Nadhani kwasababu ya fiesta usishangae baada ya fiesta singeli ikipoa au kupotea kabisa ni mziki wa watu wa Pwani, Dar mikoani nao wanamziki wa staili yao na asili yao. nadhani wangekuwa wanawachukua wasanii wa asili hata mmoja kutoka mkoa husika na kumpa promo pia ingefaa
 
Clouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huu
 
kama hawajaelewa kipindi hiki cha wimbo wa Taifa 'hainaga ushemeji' sidhani kama wataelewa tena
Hiyo ni Nchi nyingine wanataka midundo ya akina Chamellion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…