princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
hivi fiesta inaonyeshwaga saa ngapi.?
maana mwaka huu fiesta hovyoo
maana mwaka huu fiesta hovyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually umemujibu exactly,hata yule mujomba wako mudogo wa London asingependa kusikiliza an idiotic music wa kisingeli,Wimbo wa Dar. Labda huko Dar ndiko kwenye "high incidence ya 'kulana' na mashemeji", ndiyo maana huko Tanganyika hawaelei chochote, wanaona ni obscenity.
Ni bora hata waondoke unaweza jipa moyo kwamba wamechoka, ila kuperform watu wanakuangalia tu na una hit song inakata maini sanaShangwe ndogo zaidi.....mwanzo mzuri huo mi nilidhani wakati wanaperform mashabiki wote waliondoka wakawaacha wenyew
Ha ha ha ha haaaaaActually umemujibu exactly,hata yule mujomba wako mudogo wa London asingependa kusikiliza an idiotic music wa kisingeli,
Infact ni music wa despitate people (In haya ancient)
Naona Ruge alihisi akiweka kiingilio kikubwa watu watakuwa wachache, si unajua kule Muleba imefanyika kwa bahati mbaya baada ya kuukosa uwanja wa Kaitaba wa Bukoba Mjini uliokuwa kwenye matengenezo, Muleba hakuna watu wengi kama Bukoba mjini naona alitaka kuwashawishi kujaza uwanjaWakuu mbona kiingilio muleba 5000 na sehemu zingine 10000 kwani muleba uchumi uko juu ama mm sijaelewa wakuu mnielekeze
We bure kabisa Sasa manfongo nae kawa garikama hawajaelewa kipindi hiki cha wimbo wa Taifa 'hainaga ushemeji' sidhani kama wataelewa tena
Ila habari yake unayo
muleba ni vijijini ukienda na gari wanakushangaa
Huko wanasikiliza radio za Ug unategemea nini?uswazi fleva is yet to penetrate into hayahood.....
Haiwezekani angekuwa anaishi hvyo angestuka akahamia hata Bukoba mjiniHivi kama yeye anaishi Muleba ndani ya nyumba ina kiyoyozi na anatengeneza mkwanja wa nguvu nawe waishi Dar ila kambi ya fisi manzese na hata kesho huna hakika nayo, nani mjanja kati yenu?
Sio lazima unijibu, ila tatizo la fikra za aina hiyo wanalo wengi na ndio liletalo unasikini miongoni mwa watu
Halafu hii radio kwanini haifungiwi? Huo wimbo unaharibu maadili mara wahoji shogaClouds FM
Bongo fleva inamiaka mingapi? ufananishe na singeli inayoishia uswahiliniNa BongoFleva wanazijuaje?
umejuaje ni wimbo??Huo wimbo wa sijui hainaga ushemeji sijawahi hata kuusikia.
Daah!..lazima ajipange kweli kweliHahaha.... Siliwagi kizembe zembe.
Clouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huuSingeli imepewa sana promo hivi karibun, na clouds ndo wameipaisha sana. Nadhani kwasababu ya fiesta usishangae baada ya fiesta singeli ikipoa au kupotea kabisa ni mziki wa watu wa Pwani, Dar mikoani nao wanamziki wa staili yao na asili yao. nadhani wangekuwa wanawachukua wasanii wa asili hata mmoja kutoka mkoa husika na kumpa promo pia ingefaa
Hiyo ni Nchi nyingine wanataka midundo ya akina Chamellionkama hawajaelewa kipindi hiki cha wimbo wa Taifa 'hainaga ushemeji' sidhani kama wataelewa tena