Kumbe Man Fongo si lolote nje ya Dar

Moshi ndio kabisaaa hataeleweka. Atawapigia kelele tu
 
Muleba wanasikiliza sana radio za Uganda kwa hiyo hawawezi mjua vizuri
 
Ukiona mtu anapenda na kushangilia aina ya nyimbo za huyo kijana, we tambua fika kuwa kichwa chake hakipo sawa.. Ama alivuta sana bangi utotoni au aliwahi kupata ajali na ubongo wake kuhamia magotini
 
Kimziki bado ni mchanga lile lilikuwa zali tu.pia mikoan nyimbo hizo hawazifagilii
 
Wanaume wa dar ni shiiida....

Bila mauno na unyoro nyoro hawana kitu
 
Hapo umenena kweli yaani mtu unaishi karoom kamoja kamebanana na mtu ansishi amejiachia fully shangwe unajisifu unaishi mjini.

Ingawaje mjini tunaishi masikini wenye hela wanaishi nje ya mji tu kunakua na utulivu
 
Wahaya wanajielewa hawawezi shabikia ujinga.safi Sana nshomile
 
Hizo bias sasa! Hiyo Dar yenyewe Singeli haijaanza kubamba kitambo ingawaje watu tunaoishi Uswahilini tulikuwa nayo long time! Sasa ikiwa hata mabishoo wa Dar wameanza kudata nayo miezi ya karibuni, hadi ifike Muleba unadhani kazi ndogo?!!
 
Singeli bd haijafika mbali bcz hata redio inayopiga singeli inaishia dar tyu masafa yake
 
Clouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huu
Huo ndio ukweli tena unaouma
 
wimbo wa kipwani pwani huo ,aka wanaume wa .......! Huko Tanganyika wanajisumbua tu,kwanza hamna mtu anayewajua na wimbo wenye ni full makelele!!
 
Clouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huu
Hiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.
 
Hiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.
Taja wasanii wa singeli nyimbo zao zina pigwa clouds ukiwatoa msaga sumu, manfongo na sharomwamba
 
Taja wasanii wa singeli nyimbo zao zina pigwa clouds ukiwatoa msaga sumu, manfongo na sharomwamba
Hao wengine unawajua wewe, wakipigwa clouds ntawajua otherwise iyo Efm nayo ifike mikoani ili niwajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…