Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama yeye anaishi Muleba ndani ya nyumba ina kiyoyozi na anatengeneza mkwanja wa nguvu nawe waishi Dar ila kambi ya fisi manzese na hata kesho huna hakika nayo, nani mjanja kati yenu?
Sio lazima unijibu, ila tatizo la fikra za aina hiyo wanalo wengi na ndio liletalo unasikini miongoni mwa watu
Huo ndio ukweli tena unaoumaClouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huu
full mashauzi Kama kawaida yao!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Duh,,ila sishangai kwa kuwa ni kwa wahaya
Hiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.Clouds wame ipaisha vipi singeli wakati wasanii walikuwa wanapeleka nyimbo zao c.d zina vunjwa, Radio iliopaisha singeli ni E.fm na ndo radio ya kwanza kuupiga huo mziki hadi ukaeleeka hao wengine wakaja kuuvamia mwaka huu
Taja wasanii wa singeli nyimbo zao zina pigwa clouds ukiwatoa msaga sumu, manfongo na sharomwambaHiyo Efm inaskika mikoa mingapi? clouds wameipaisha singeli acha ubishi. watu wengi wa mikoani wanawajua hao wasanii wa singeli kupitia clouds kwakua ndo redio inayosikilizwa mda mwingi.
Hao wengine unawajua wewe, wakipigwa clouds ntawajua otherwise iyo Efm nayo ifike mikoani ili niwajueTaja wasanii wa singeli nyimbo zao zina pigwa clouds ukiwatoa msaga sumu, manfongo na sharomwamba