Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Aisee nyie walimwengu mna siri!

Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!

Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia

imenishangaza sikuwahi kujua mapenzi yana hizi mambo!

Nilianza kushituka baada ya kuona nikiwa na mzigo mfukoni asubuhi yake lazima niombwe hela ya kusuka, hela ya mafuta n.k Ajabu siku ambazo sina siombwi sasa nikawa najiuliza huyu anaotaje kama siku sina hela haombi na nikiwa nazo anaomba?

Nikaanza style maalum ya kutundika suruali au napoikunja naweka alama ya mkunjo!

Au wakati naweka pesa kuna namna naitega ili kama mtu akishika hatokumbuka kuzipanga nilivyotega!

Bwana weeh! Nimejiridhisha nachunguzwa mie huyu mwanamke ana mbinu nyingi za kunichunguza mifukoni!

Nyingine anazuga kunipasia nguo na kunihamishia vilivyo mfukoni kutoka suruali ya Jana kwenda suruali ya Leo!
Nachunguzwa mwenzenu nachoshukuru haibi! Lakini hii tabia ngumu sana bhasi tu!
 
Aisee nyie walimwengu mna siri!

Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!
umu sana bhasi tu!
Kwanini uoe high demanding woman wakati low demanding women wamejaa wengi mjini, mwanamke anae omba omba pesa ni kichomi, bora kuachana nae ili upige hatua
 
Tatizo siyo kuombwa pesa! Kama unaombwa kwa tija haina noma!

Hata hao low demand unaosema wanamatatizo yao!
Sema ambacho sikukijua mapema kumbe mapenzi yana hizo mambo za kuchunguzana
 
Hayo sio mapenzi ni ujasiliamali mbona kwetu hatufanyiwi hivo, huyu anaendekeza wizi kwako, hamna mapezi ya dezaini hiyo, hao ndo wanawake wenye fikra kwamba akiolewa matatizo yake yote yanatatuliwa na mwanaume huo.
 
Kwanini uoe high demanding woman wakati low demanding women wamejaa wengi mjini, mwanamke anae omba omba pesa ni kichomi, bora kuachana nae ili upige hatua
Naunga mkono hoja
 
Aisee nyie walimwengu mna siri!

Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!

Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia

imenishangaza sikuwahi kujua mapenzi yana hizi mambo!

Nilianza kushituka baada ya kuona nikiwa na mzigo mfukoni asubuhi yake lazima niombwe hela ya kusuka, hela ya mafuta n.k
Ajabu siku ambazo sina siombwi sasa nikawa najiuliza huyu anaotaje kama siku sina hela haombi na nikiwa nazo anaomba?

Nikaanza style maalum ya kutundika suruali au napoikunja naweka alama ya mkunjo!
Au wakati naweka pesa kuna namna naitega ili kama mtu akishika hatokumbuka kuzipanga nilivyotega!

Bwana weeh! Nimejiridhisha nachunguzwa mie huyu mwanamke ana mbinu nyingi za kunichunguza mifukoni!

Nyingine anazuga kunipasia nguo na kunihamishia vilivyo mfukoni kutoka suruali ya Jana kwenda suruali ya Leo!
Nachunguzwa mwenzenu nachoshukuru haibi! Lakini hii tabia ngumu sana bhasi tu!
Daaah nimecheka sana, maana umepiga kwenye mshono yaani mule mule
 
Hapo huwa anatafta viashiria vya uchepukaji(cheni, heleni, Pete, condom nk vinavyo ashilia kutumika) kwenye mifuko na sim Yako hio ya kuomba ela ni zugu tu au dhiada
 
Ok, umekuja kuomba ushauri ama umekuja kutoa dukuduku??
Ebu tuanzie hapo kwanza, maana hili nalo pana ka'gagulo la msimali..😜
 
Mimi nimeibiiwa sana kabla ya kuja kushtuka.
 
Hiyo siyo mbaya sana MKuu ukilinganisha na yanayotupata wenzako,Mimi nlikuwa nasachiwa naibiwa naachiwa tu nauli ya kwenda kazini.Ilibidi niache tungi maana manzi ilikuwa anipukute.
 
Aisee nyie walimwengu mna siri!

Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!

Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia

imenishangaza sikuwahi kujua mapenzi yana hizi mambo!

Nilianza kushituka baada ya kuona nikiwa na mzigo mfukoni asubuhi yake lazima niombwe hela ya kusuka, hela ya mafuta n.k
Ajabu siku ambazo sina siombwi sasa nikawa najiuliza huyu anaotaje kama siku sina hela haombi na nikiwa nazo anaomba?

Nikaanza style maalum ya kutundika suruali au napoikunja naweka alama ya mkunjo!

Au wakati naweka pesa kuna namna naitega ili kama mtu akishika hatokumbuka kuzipanga nilivyotega!

Bwana weeh! Nimejiridhisha nachunguzwa mie huyu mwanamke ana mbinu nyingi za kunichunguza mifukoni!

Nyingine anazuga kunipasia nguo na kunihamishia vilivyo mfukoni kutoka suruali ya Jana kwenda suruali ya Leo!
Nachunguzwa mwenzenu nachoshukuru haibi! Lakini hii tabia ngumu sana bhasi tu!
Sasa kama hela hutoi utasachiwa tu wacha ukigwasa huo au unasubiri waje kukusaidia, maana kwa mwendo huo ndio mnakoelekea.
 
Natoa mkuu Ila sachi napigwa sana na hamkuniambia kuna hizi mambo
 
Back
Top Bottom