Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie.

Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu Nabi atumikie Red Card yake na katika Mechi ya Kariakoo Derby awepo Benchini?

Kwa ninavyowajua Yanga SC kama Kocha wao Nabi asingekuwa na hii Red Card hii Ratiba ya kucheza na Namungo FC wangeikataa na msingewafanya lolote ila na Wao wameifurahia kwakuwa wanajua itamsaidia Kocha wao Mkuu Nabi kuitumikia halafu katika Kariakoo Derby atakuwepo Kuwaongoza Wachezaji wake.

Kweli kwa Msimu huu Yanga SC imejipanga Kimkakati kote kote tu Hongereni na sasa haina mjadala Yanga SC iwe isiwe ndiyo Bingwa wa NBC Premier League.
Hata bila ya hiyo mipango Yanga ubingwa uko pale pale
 
Nafikiri Simba mngemwogopa
zaidi Kaze kuliko hata Nabi. Kaze akisimama pale bench mpira mtakao pigiwa sio wa kitoto, sibirini mtaona.
 
Kwani mamlaka inayohusika kupanga mechi Gani ichezwe lini ni YANGA SC au Tff? Suala la Yanga kuwahonga Tff ili kulazimisha mechi ya Yanga vs Namungo una uhakika nalo au ndiyo tunatumia uhuru wa kuongea vibaya?!!!
IMG-20220406-WA0075.jpg
 
Tutawapiga hivyo hivyo bila kocha mkuu kwenye benchi, hata Msaidizi wake hasiwepo pia, kipigo Kiko pale pale.
 
Huyu jamaa sipati picha angekuwa na jinsia ya kike ni namna gani angekuwa mgombanishaji wa ndoa za watu. Yaani anajifanya kujua ya ndani kumbe ni sifuri kichwani. Sheria ipo wazi kuwa ukipewa red card utatumikia adhabu mechi tatu. Sasa huyu sheria ya mechi moja kaitolea wapi? Yaani hata sheria za mpira hazijui halafu anajifanya mjuaji
Adhabu ya kocha si Sawa na ya mchezaji.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie.

Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu Nabi atumikie Red Card yake na katika Mechi ya Kariakoo Derby awepo Benchini?

Kwa ninavyowajua Yanga SC kama Kocha wao Nabi asingekuwa na hii Red Card hii Ratiba ya kucheza na Namungo FC wangeikataa na msingewafanya lolote ila na Wao wameifurahia kwakuwa wanajua itamsaidia Kocha wao Mkuu Nabi kuitumikia halafu katika Kariakoo Derby atakuwepo Kuwaongoza Wachezaji wake.

Kweli kwa Msimu huu Yanga SC imejipanga Kimkakati kote kote tu Hongereni na sasa haina mjadala Yanga SC iwe isiwe ndiyo Bingwa wa NBC Premier League.
Mkome!
 
Kwani red card ya mashindano ya FA inahusika kupeleka moto mpaka kwenye mashindano ya ligi kuu?
 
Back
Top Bottom