Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

Hata bila ya hiyo mipango Yanga ubingwa uko pale pale
 
Nafikiri Simba mngemwogopa
zaidi Kaze kuliko hata Nabi. Kaze akisimama pale bench mpira mtakao pigiwa sio wa kitoto, sibirini mtaona.
 
Kwani mamlaka inayohusika kupanga mechi Gani ichezwe lini ni YANGA SC au Tff? Suala la Yanga kuwahonga Tff ili kulazimisha mechi ya Yanga vs Namungo una uhakika nalo au ndiyo tunatumia uhuru wa kuongea vibaya?!!!
 
Tutawapiga hivyo hivyo bila kocha mkuu kwenye benchi, hata Msaidizi wake hasiwepo pia, kipigo Kiko pale pale.
 
Adhabu ya kocha si Sawa na ya mchezaji.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mkome!
 
Kwani red card ya mashindano ya FA inahusika kupeleka moto mpaka kwenye mashindano ya ligi kuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…