Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

hiyo mechi na mnyama, Nabi awepo asiwepo watafungwa, screenshot hii comment
 
hiyo mechi na mnyama, Nabi awepo asiwepo watafungwa, screenshot hii comment
 
............Kama kitu hujui uwe unakaa kimya sio lazima kila mtu aanzishe uzi.
 
Ni kwamba mmejisahaulisha Cedric Kaze ndio alikuwa kocha mkuu wa Yanga? Kwamba hamjui Kaze ndio anawajuwa vizuri Simba kuliko Nabi?

Kutokuwepo kwa Nabi kwenye benchi ni hasara kwa Simba maana Kaze ndio atakuwa fundi mitambo ndio mtajuwa mwaka huu Yanga imedhamiria ndio maana ikamrudisha Kaze kumsaidia Nabi.
 
Sisi kama simba tunamruhusu aje na akae kwenye benchi apange team ili kusiwe na kisingizio tukiamua tunaweza kwani soka letu kivyetu vyetu.
 
Sisi kama simba tunamruhusu aje na akae kwenye benchi apange team ili kusiwe na kisingizio tukiamua tunaweza kwani soka letu kivyetu vyetu.
Nabi ameshamaliza kazi ametupa ubingwa tayari, nyinyi Cedric kaze mbona anawatosha?

Nabi kazi yake iliyobaki ni kujenga timu ya kufanya vizuri klabu bingwa Afrika msimu ujao.
 
Mbumbumbu kwenye ubora wako. Mwizi huwa anadhani kila mtu ni mwizi kama yeye.
Nabi atakosa mechi tatu na faini ya laki tano. Hayo mengine danganyaneni mambumbumbu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…