Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

Viti maalumu ni vya wanawake, wanaume mnawashwa nini?
 
Unavyodai ya kwamba CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA, je kuna kikao cha kamati kuu ya chama kilifanyika ili kuidhinisha na kupitisha majina hayo?
Kamati kuu ilikaa lini kumpitisha maalimu awe mgombea zenji? Chandimu kuna ombwe la uongozi, ndo maana tuliwapiga spana!
 
Wabarikiwe!!!
 
Hawana baraka za chama, hivyo hata hawana furaha ya kuapishwa wana sonono vifuani mwao kwa kuwasaliti watanzania mil 50
 
Hakuna jipya sana ingawa sounds nasty, haipendezi kabisa...Kama hii hapa
1. Mlipaji Mkuu wa serikali... Mtoto wa dada
2. Contractor Mayanga... mme wa mdogo wangu (shemeji)
3. Mkuu wa serikali... Rais
4. Mkuu wa hazina.... Mtoto wa dada
Mapichapicha
 
Halima James Mdee amesema uteuzi wao una baraka za mwenyekiti.

Sisi tuliompokea Lowassa hapo Ufipa 2015 tunaelewa alichomaanisha Halima.

CC ya Chadema ni rubber stamp ya maamuzi ya mwenyekiti!

Maendeleo hayana vyama.
Unaelewa maana ya uthibitisho?Yaani maneno ya mtuhumiwa wa uhalifu yanatumika kuthibitisha kuwa uhalifu haukufanyika?Unaelewa kuwa Mdee ni mtuhumiwa katika hili?Yaani jambazi anaetuhumiwa kuiba unaweza kutumia maneno yake ya mdomo wake ya kusema kuwa hakuna ujambazi uliofanyika kuthibitisha kuwa hakuna ujambazi uliotendeka?Ingekuwa ni mahakamani umeulizwa na mheshimiwa hakimu kuwa peleka ushahidi kuwa kikao cha kamati kuu kilifanyika ungemwambia hakimu kuwa ushahidi wako ni Halima Mdee(ambae ni mtuhumiwa) kusema kuwa kikao kimefanyika?
 
Hela za wafadhili zenye masharti ya wapinzani kuwa wenyeviti na wajumbe wa kamati za PAC , LAAC na ile ya mashirika ya umma ndio zimewaehusha hivi ? Nyinyi si dona kantri ? , Mpaka mnaenda kutoa watu jela usiku wa manane na kumsafirisha toka Singida mpaka Dodoma kwa gharama zenu? Kila siku huwa nawaambia CCM ni wehu mnakataa ? Mnaona Sasa mnavyojidhalilisha . Mkaenda kumtoa na Salome Makamba jela si mlisema amechoma nyumba ya afisa kipeuo uchwara wenu Patrobas Katambi ? Kesi imeisha? Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana .
 
Demokrasia ipi hiyo isiyofuata sheria?

Suala la kuwekwa mwanamke wa nani hapa halina maana, issue hawakufuata taratibu za kuwapeleka bungeni, msiondoe watu kwenye hoja ya msingi mnaleta zenu za kijanja.
 
Sasa kikao kisingefanyika majina yale yangefikaje NEC?

Uteuzi wa wabunge ni mchakato wa kisheria na NEC na Spika wa bunge siyo wajinga kama Ufipa mnavyowafikiria!
 
Hizi tuhuma zako mbalimbali ulizoongea hapo juu sijui hawara sijui nileteeni dada yangu,e.t.c nitajuaje na nitakuwaje na uhakika kuwa ni za kweli na wala siyo tu porojo za kisiasa za hapa na pale za kulifuraisha genge hapa?Kwa sababu hapa mtu anaweza kuongea chochote anachojisikia kuongea!
 
Demokrasia ipi hiyo isiyofuata sheria?
Sharia gani ya demokrasia unayoitafuta, mpaka kuwaingilia wanawake jikoni, eti msimsahau na dada yangu kweny list yenu. Kama Sheria mngeyalinda mabox ya kura na kuzihesabu
 
Siasa ni sayansi bwashee!
 
Hakuna jipya sana ingawa sounds nasty, haipendezi kabisa...Kama hii hapa
1. Mlipaji Mkuu wa serikali... Mtoto wa dada
2. Contractor Mayanga... mme wa mdogo wangu (shemeji)
3. Mkuu wa serikali... Rais
4. Mkuu wa hazina.... Mtoto wa dada
Nashangaa Trump alifanya yote hayo juu na zaidi na bado alipendwa na kutokusemwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…