Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea? Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani? Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Kachero ni Kachero never trustSamaki nje ya maji hana ujanja, chama chakavu kilimpa mbeleko
Nimegundua ccm ni chama hatari sana.Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?
Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Dili la CCM kuwa na wagombea wawili mwaka huu limebuma .Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?
Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Tayari pemba wamemsomea Albadiri kubwa mda si mrefu ataokota makopoTumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?
Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Alibadiri za wapenda haki zinaenda kumwandama atakuwa chizi mda si mrefuZomea membe hilooooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Membe ni Comedian
Hiyo nayo ya kuporwa pesa zake ilkua drama tu mimi naona, Naamini pesa zake ziko salama! Membe sio wa kumwamini kabisa hata kidogo, Ndio maana TAL alistukia mchezo bado mapema!Membe baada ya kuporwa pesa zake zote na wasaidizi wake kufungiwa A/c zao amepagawa ndipo polepole akaitumia fursa hiyo hiyo vizuri kupiga pesa ganji 10% kwa mgongo huo huo
Membe katumwa na ccm wenyewe kamsikilize alivyosema nape nauyeMembe baada ya kuporwa pesa zake zote na wasaidizi wake kufungiwa A/c zao amepagawa ndipo polepole akaitumia fursa hiyo hiyo vizuri kupiga pesa ganji 10% kwa mgongo huo huo
Mbona kisha fungaTumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?
Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Lakini kwenye uchaguzi wa mwaka huu si wanaendelea kuwepo ? NaulizaMbona kisha funga
Dakika ya 89 aka membe ndoo hii
Maalimu Seif nje Zito nje hawana sifa tena membe ndo anachukua chama ...
Hakika sasa imebainika kuwa Bernard Membe, Mwesiga Zaid mgombea ubunge ACT Wazalendo jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam ni mpango mkakati wa mikono ya kujasusi kuhujumu demokrasia na chama cha ACT-Wazalendo
The best way to control the opposition is to lead it ourselves. LENIN and now Bernard Carmillius Membe
Jasusi mbobezi huyo 🤣!..Membe needs an honorable exit from the presidential race.
..Chadema and Tundu Lissu need to reach out to Bernard Membe and give him an opportunity to exit the race gracefully.
cc Nyani Ngabu
Membe ana hasira ya kuingizwa mjini na ZZK , wakati yeye ndio alitangulia mjiniTumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?