I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 324
23 October 2020
MPASUKO MKALI: ACT WAMVAA MAALIM SEIF, WAMKATAA TUNDU LISSU - "MGOMBEA WETU WA URAIS NI MEMBE"
MGOMBEA Ubunge (ACT WAZALENDO) katika jimbo la Kibamba, advocate Mwesigwa Zaidi, amesema wao kama chama cha ACT Wazalendo, wanamuunga mkono mgombea wao wa Urais, Benard Membe...wakili Mwesiga Zaidi naye alikuwa kada na mwanachama wa CCM kabla ya kuhamia ACT-Wazalendo baada ya juhudi zake za kuwania kuteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM 'kugonga' mwamba Julai 2020.
Mwesigwa mwenyewe kwenye baadhi ya kampeni zake Alisha sema Urais tumchaguwe Lisu kwenye ubunge tumpe yeye na udiwani apewe mgawe Leo ana sema vingine teeh teeh