Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

23 October 2020
MPASUKO MKALI: ACT WAMVAA MAALIM SEIF, WAMKATAA TUNDU LISSU - "MGOMBEA WETU WA URAIS NI MEMBE"

MGOMBEA Ubunge (ACT WAZALENDO) katika jimbo la Kibamba, advocate Mwesigwa Zaidi, amesema wao kama chama cha ACT Wazalendo, wanamuunga mkono mgombea wao wa Urais, Benard Membe...wakili Mwesiga Zaidi naye alikuwa kada na mwanachama wa CCM kabla ya kuhamia ACT-Wazalendo baada ya juhudi zake za kuwania kuteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM 'kugonga' mwamba Julai 2020.

Mwesigwa mwenyewe kwenye baadhi ya kampeni zake Alisha sema Urais tumchaguwe Lisu kwenye ubunge tumpe yeye na udiwani apewe mgawe Leo ana sema vingine teeh teeh
 
Bao la dakika ya 89 analofunga Membe ni la kujifunga kwny timu yake aliopo kwa Mkopo sio timu yake ya kudumu

Baada ya Uchaguzi na kutangazwa matokeo na kumuapisha Hussein Mwinyi Rais mteule wa Znz, kazi ya Seif na Kina Jussa itakuwa kuja mahakama kuu kupigania Uanachama wake wa ACT usifutwe kutokana na kesi zitazofunguliwa na umoja wa Wagombea Ubunge na udiwani wa ACT Nchi nzima waliokerwa na uvunjifu wa Katiba na usaliti uliofanywa na hawa kina Seif na Zitto dhidi ya Mgombea halali wa Chama chao hadharan

Seif alimsalitigi Jumbe tukajua kishakoma kumbe bado safari hii kamsaliti tena Membe…kweli Usaliti ni tabia ya kwny DNA
Bao la dakika 89 Membe anajitia mwenyewe. Aibu.
 
Ham a kitu mule... ndiyo maana CCM wakamwaga...!!
Asipokuwa makini ataishia kuwa kama wale wazee wasiojielewa kina mrema na cheyo!
 
Huyu bwana mkubwa moyo wangu ulisha mtilia Shaka Sana tangu kipindi Cha huakiki nec aliposema ameamua kwenda kuhakiki form za wadhamini ili asiletewe zengwe na nec kipindi hicho mgombea wa chadema ilikua bado na ikumbukwe lissu hakupeleka form zake kuhakikiwa kabla alizipeleka siku ya kuteua wagombea wa urais,
Na alidai yeye amekwepa mtego WA kuanza kampeni kabla ya muda.
 
Membe atashika nafasi ya pil,na Ccm nafasi ya kwanza yule mropkaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
 
Tujikumbushe

20 October 2020

Duh.! Membe amjibu tena Maalim Seif: Hatuwezi kuishinda CCM tukiungana/atakuwa mjinga na mpumbavu

Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?

Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani?

Mgombea gani wa Urais asiyejinadi yeye mwenyewe, wabunge wake, madiwani wake wala kushirikiana na viongozi wa chama chake? Anatafuta Urais binafsi au unaodhaminiwa na chama? Mhe. Membe, mbona husomeki?
Huyu alilaghai family moja kule Lindi dollar million 2 baada ya kuwaahidi kuwapa mgao wa pesa ya Gadafi wa Libya. Mfrakano ulitokea Kati ya familia ya Mo na wale waarabu wa lindi. Na masikini wale waarabu wa Lindi wanefilisika Membe anadunda na Don Mafioso paymaster
 
Kijana Membe ni rais binafsi wa taifa teule la Mtama.
 
Huyu alilaghai family moja kule Lindi dollar million 2 baada ya kuwaahidi kuwapa mgao wa pesa ya Gadafi wa Libya. Mfrakano ulitokea Kati ya familia ya Mo na wale waarabu wa lindi. Na masikini wale waarabu wa Lindi wanefilisika Membe anadunda na Don Mafioso paymaster
Ulaghai ni kama wizi. Wote mwisho wao ni arobaini (40). Arobaini za Membe zimefika.
 
Hivi hizi pesa za gaddafi hatuwezi kununulia dreamliner nyingine...
 
Back
Top Bottom