Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

29 October 2020
Kimbamba, Dar es Salaam
Tanzania

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAMBA DSM ADVOCATE MWESIGA ZAID WA ACT WAZALENDO, AKUBALI KUSHINDWA / AMPONGEZA MGOMBEA WA CCM



Wakili Mwesiga Zaid Siraji achambua mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 na kusema ni uchaguzi wa mfano kwa ubora wake wa hali ya juu.

Advocate Mwesiga Zaid Siraji awapongeza wadau wote wakiwemo wapiga kura wananchi, kamati kama za amani chini ya viongozi wa kidini, vyombo vya ulinzi na usalama, Tume ya Uchaguzi , viongozi wake wa ACT-WAZALENDO ndugu Zitto Kabwe na Maalim Seif kwa jana kusema hali ni shwari Kigoma na Zanzibar ambao kwa pamoja kama kundi lenye maslahi mapana kwa nchi wameonesha ustaarabu na hulka njema ktk zoezi hili siyo muhimu tu kikatiba bali kwa mustakabali wa Taifa kuwa la utulivu na amani ili maisha yaendelee kama kawaida baada ya chaguzi.
 
Back
Top Bottom